Wewe hujaelewa taarifa ya Kamanda. Ni kwamba, Mrs. Masanja hakuwa na uhusiano wa kimapenzi na huyu Katibu wa Kanisa, bali, Katibu alikuwa anamtongoza kumtaka kimapenzi, na, Mrs. Masanja inaonesha alimkataa hadi kufikia hatua ya kwenda kwake Katibu na kijumbe kumkanya aache tabia ya kumtongoza.Sasa kama imethibitika huyu mama ni mzinzi, anasubiri nini kwa masanja? Arudi kwao akaendelee na uzinzi wake kwa uhuru
Hata hivyo, Jeshi lisiishie hapo kama lilivyosema, bali, liendelee na uchunguzi wa kina kubaini zaidi yaliyofichwa na kufichika ndani ya boksi. Damu ya mtu Mtanzania isichukuliwe kirahisi kihivyo.