Polisi watoa tamko maandamano ya CHADEMA Dar, Tumemkamata Mbowe, Lissu, Lema “Hawajatekwa”

Polisi watoa tamko maandamano ya CHADEMA Dar, Tumemkamata Mbowe, Lissu, Lema “Hawajatekwa”

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu na mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini, Godbless Lema.

Muliro amesema watu hao wamekaidi amri halali ya Polisi ya kuacha kushiriki maandamano, jijini Dar es Salaam na mahojiano dhidi yao yanaendelea.

View: https://www.youtube.com/watch?v=KTtAFvAo21Y
 
Lakini maandamano yaliyo pita waliruhusu na hakuna mabaya yaliyo tokea kwa nini haya yamepigwa 📌📌📌📌 ya nguvu najiuliza tu.
POlisi wameona kuna viasiria vya uvunjifu wa amai hivyo waayo mamlaka ya kuzuia msandamano hayo.

Ingekuwa hawana mamlaka basi sheria isingewataka waandamanaji kwenda kutoa taarifa polisi.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu na mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini, Godbless Lema.

Muliro amesema watu hao wamekaidi amri halali ya Polisi ya kuacha kushiriki maandamano, jijini Dar es Salaam na mahojiano dhidi yao yanaendelea.

View: https://www.youtube.com/watch?v=KTtAFvAo21Y

Kama Lissu wamemkamatia nyumbani kwake hapo wanasemaje amekaidi? Hili Jeshi ndiyo linataka liaminike na watu kweli?
 
hao wanatakiwa waminywe sana mbupu zao siku nyngine wasirudio huo ujinga
Nyinyi ndio mnapaswa muminywe hizo kwasababu ya kutotaka sheria ifuatwe.

Ukiulizwa ni sheria gani iliyovunjwa utasema wamekaidi agizo ambalo sio sheria?
 
Back
Top Bottom