Polisi watoa tamko maandamano ya CHADEMA Dar, Tumemkamata Mbowe, Lissu, Lema “Hawajatekwa”

Polisi watoa tamko maandamano ya CHADEMA Dar, Tumemkamata Mbowe, Lissu, Lema “Hawajatekwa”

Endelea kuvuta taratiibu naona anavyorembua akifurahia malezi ya dumejinga-nyoko likiunguruma kama beberu zee lisiloweza kudindisha mpaka lipewe lilambe na kuchokonolewa tako ndipo kibamia legelege kipige miayo ya uchovu...anewei endelea kuvuta ndugu zako wengine wanangoja miujiza ya mvuto Kani.
Navutaaa
 
Tatiz

o lako inaonekana una uelewa mdogo sana. Sijui ni tatizo la kuwa na akili ndogo, au ni uwezo mdogo wa kutafuta maarifa.

Hutakiwi kuhisi, sheria imetamka wazi kwa nini unatakiwa kutoa taarifa polisi, na polisi wanatakiwa kufanya nini baada ya kupewa taarifa

Lakini kwa sababu polisi wengi ni akili kibaba kama yako, wanatengeneza tafsiri zao ambazo hazipo kisheria. Ndiyo maana hakuna hata kesi moja inayohusu maamdamano, polisi waliwahi kushinda.
Huwenda mawazo yangu hayakukufurahisha,lakini binafsi naamini nilichokiandika ni jambo sahihi.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu na mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini, Godbless Lema.

Muliro amesema watu hao wamekaidi amri halali ya Polisi ya kuacha kushiriki maandamano, jijini Dar es Salaam na mahojiano dhidi yao yanaendelea.


View: https://www.youtube.com/watch?v=KTtAFvAo21Y

hao wanatakiwa waminywe sana mbupu zao siku nyngine wasirudio huo ujinga

Duniani kote kuna lugha maalumu ambayo huwa inatumika katika kuzungumza Kati ya Wananchi na Watawala wao ambao ni Madikteta. Wananchi wakati wanapozungumza kwa kutumia lugha hiyo maalumu, watawala wao huwa wanaelewa haraka Sana na mara moja huwa wanafikia muafaka mzuri Sana kati yao.
 
Back
Top Bottom