nadhani ili akaishi kwa amani ughaibuni, ni vizuri Lema akatumia njia zitakazomfanya akaishi huko kwa uhuru na amani zaidi. Hizi za kisiasa na za fedheha namna hii, sio muafaka kwa mtu mwema na alie elimika.
hata hivyo,
huenda tabia za kihalifu wakati anakipiga ngeta malori ya watu kipindi hicho, bado zinamzonga, na hivyo anaamini kwamba, ili ukaishi ughaibuni lazima nchini kwako uondoke kwa shari...
Infact,
tabu na ugumu wa maisha ya kiuchumi, anyopitia sasa, hata kwa kumtazama kwa macho tu, unaweza kubaini hali anayopitia. huhitaji kubishana kwenye hilo 🐒