4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu na mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini, Godbless Lema.
Muliro amesema watu hao wamekaidi amri halali ya Polisi ya kuacha kushiriki maandamano, jijini Dar es Salaam na mahojiano dhidi yao yanaendelea.
View: https://www.youtube.com/watch?v=KTtAFvAo21Y
Nchii hii police mnaenda itumbukiza shimoni