Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
POlisi wameona kuna viasiria vya uvunjifu wa amai hivyo waayo mamlaka ya kuzuia msandamano hayo.Lakini maandamano yaliyo pita waliruhusu na hakuna mabaya yaliyo tokea kwa nini haya yamepigwa 📌📌📌📌 ya nguvu najiuliza tu.
Kwa kuwa wewe za kwako hazina kazi baada ya kuamua kwa hiari yako kutumika kinyume so unataka wengine wawe kama wewe?hao wanatakiwa waminywe sana mbupu zao siku nyngine wasirudio huo ujinga
Kama Lissu wamemkamatia nyumbani kwake hapo wanasemaje amekaidi? Hili Jeshi ndiyo linataka liaminike na watu kweli?Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu na mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini, Godbless Lema.
Muliro amesema watu hao wamekaidi amri halali ya Polisi ya kuacha kushiriki maandamano, jijini Dar es Salaam na mahojiano dhidi yao yanaendelea.
View: https://www.youtube.com/watch?v=KTtAFvAo21Y
we si unamfereji wacha wanaume wenye pum=bu wasimamie haki poliss waoga sanahao wanatakiwa waminywe sana mbupu zao siku nyngine wasirudio huo ujinga
Unadhani Hili Taifa ni la ccm pekee?hao wanatakiwa waminywe sana mbupu zao siku nyngine wasirudio huo ujinga
Nyinyi ndio mnapaswa muminywe hizo kwasababu ya kutotaka sheria ifuatwe.hao wanatakiwa waminywe sana mbupu zao siku nyngine wasirudio huo ujinga