Polisi watoa tamko maandamano ya CHADEMA Dar, Tumemkamata Mbowe, Lissu, Lema “Hawajatekwa”

Nchii hii police mnaenda itumbukiza shimoni
 
🤔😓sasa maandamano ya amani yanawanyima nini wakuu?
Polisi walishasema hayo sio maandamano ya amani, mbona maandamano yale mengine yalifanyika na mkasindikizwa na hao hao polisi.
Acheni kujitoa akili, asubuhi na mapema raia wapo kwenye biashara zao wanapambana.

Haya mambo ya kuondoa serikali kwa njia ya maandamano hayatakiwi kushirikisha chama cha siasa, bali n wananchi wnyw kuamua kuiondoa serikali.
 
Kwa mujibu wa PGO na Kiapo cha Jeshi la Polisi Afande Muliro yuko sahihi lazima alinde kiapo chake. Hata hivyo wanasiasa ndio wanasababisha Jeshi la Polisi lisiaminike hasa kwenye suala la utekaji. Naamini watachukulia hao waliowakamata wanaomboleza kutokana na kufiwa na kupotelewa na ndugu zao na hadi sasa Polisi hawajasema wapo wapi ili hatima yao ijulikane. Kijumla Jeshi la Polisi lipongezwe kwa jinsi walivyowakamata watu kwenye tukio la leo kwa weledi.
 
hao wanatakiwa waminywe sana mbupu zao siku nyngine wasirudio huo ujinga
Wewe sio tu mjinga bali ni juha. Maandamano yanalindwa. Hii Tanzania hakuna kitu watafanya hao waandamanaji zaidi ya kujichosha na mabango mwisho wanaenda kulala jioni.
 
hapo ndipo wanazidi kudhihirisha kuwa waliotekwa kuna kitu hakipo sawa kwa upande wao
 
hasa Lema ilikua ni Lazima aandamane na akamatwe, ili akiachiwa apate kisingizio cha maisha yake kua hatarini na kupata kibali cha kuishi uhamishoni ughaibuni, akaungane na familia yake ambayo kwasasa ipo huko..

Infact,
kwasasa Lema anaishi maisha magumu na ya fedheha sana kwa sasa. Ni ndugu wenye Imani tu ndio wanamsitiri but kiukweli ni choka mbaya 🐒
 
Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dares salaam Muliro amethibitisha kuwa mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa Chadema wamekamatwa rasmi leo kwenye maandamano haramu yaliyolenga kusigina utawala wa Rais Samia
 
SUGU Mnyika hawa watu wapo wapi kwenye haya maandamano
 
Ukiona imefika hatua watu wanakamatwa na polisi mchana kweupe halafu polisi inabidi wafafanue kwamba hawajatekwa basi ujue kuna tatizo sehemu🐼
 
Kama sijasahau nauri ya kurudi nchini ulimtumia wewe.
 
Fact
 
hao wanatakiwa waminywe sana mbupu zao siku nyngine wasirudio huo ujinga
Wakiminywa kende mama yako starehe utampa wewe?

Mbona unaongea kama mlevi wakati leo ni jumatatu na huu ni muda kazi,stay focused usiwe mtu wa hovyo
 
Hawa polisi ni wendawazimu. Matamko ya viashiria vya uvujifu wa amani ni yapi? Na kwanini hayo matamu yaaminiwe kuliko matamko mengine yanayo sema ni maadamano ya amani?
Nchii hii police mnaenda itumbukiza shimoni
Kunavitu polisi wanasema ambavyo hata mtoto akisikia anajuwa hawana kitu kichwani za ya kujuwa kuvaa uniform . Hivi ni sheria ipi inayo wapa polisi kukamata mtu kwa kosa la kutowa tamko lenye viashielia vya uvujifu wa amani?
 
Kama sijasahau nauri ya kurudi nchini ulimtumia wewe.
asingekua na nauli angerudishwa kwa lazima na nchi husika..

kwasababu alikua na chaguo moja tu ulingana na vigezo na masharti ya nchi aliko mke wake.

sharti lenyewe ni hili,
wachagu moja,
ama Yeye Lema au mkewe na watoto wabaki nchini humo moja arudi nyumbani., kwasababu sheria za nchi ile haziruhusu wala haziwezi kuwaacomodate mume, mke na familia mzima . Lazma wachague moja 🐒

So,
lema angerudishwa nyumbani kwa lazima apende asipende 🐒
 
😂😂😂 kazi ya jeshi la polisi ni kulinda Raia na mali zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…