Polisi watoa tamko maandamano ya CHADEMA Dar, Tumemkamata Mbowe, Lissu, Lema “Hawajatekwa”

Navutaaa
 
Huwenda mawazo yangu hayakukufurahisha,lakini binafsi naamini nilichokiandika ni jambo sahihi.
 
hao wanatakiwa waminywe sana mbupu zao siku nyngine wasirudio huo ujinga

Duniani kote kuna lugha maalumu ambayo huwa inatumika katika kuzungumza Kati ya Wananchi na Watawala wao ambao ni Madikteta. Wananchi wakati wanapozungumza kwa kutumia lugha hiyo maalumu, watawala wao huwa wanaelewa haraka Sana na mara moja huwa wanafikia muafaka mzuri Sana kati yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…