Polisi wauwaji wafikishwe kunako stahili

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ashakum si matusi polisi Mara:

Kwa kutuona je vile?

IMG_20220927_141352_404.jpg

Ama kwa hakika kuitisha watu hawa kufikishwa kunakostahili, ni kutochagua kuwa panya road kama wao.

NInakazia: uhalifu haushindwi kwa uhalifu
 
Jeshi liwekeze kwenye Intelligence ili liweze kuwa Proactive.

NB. USALAMA WA NCHI NI JAMBO NAMBARI MOJA.
 
Polisi ni genge la kihalifu lililoundwa na Serikali na kulindwa na wananchi👇

Inatia simanzi sana. Wito kwa wote waungwana:

Kusimama na Catherine Ruge ni Wajibu
Mtasimama pekee yenu kwa kuwa siku zote mmekuwa na ajenda za siri.

Hamtapata kuungwa mkono na watanzania wanaowajua vyema nia zenu ovu.

Kuwa wote jando ndo iwe sababu ya kumjua mtu vizuri !!

NENDA KAMA UKIBAHATIKA KURUDI SALAMA UTAKUWA NA CHA KUHADITHIA BAADAE.
 
Kurudi si muhimu. Hawakurudi kina Mahlangu. Leo SA iko huru watoto wa wajukuu zao wanakula maisha. Na huo ndiyo ulio uzalendo.

"Ni heri kufa ukiipigania nchi kuliko kufa kwa malaria." -- Lwaitama.
 
Inawezekana polisi huwa wana informers wao wanaowaelekeza kuhusu haya matukio, ndio maana huwaacha wengine na kwenda direct kwa specific person.

Huyo mwenyekiti wa kijiji anaweza kuwa sahihi, au asiujue ukweli kama mtuhumiwa alikuwa jambazi au hapana, pamoja na familia yake, sababu jambazi hufanya mambo yake kwa siri.

Inawezekana ni marafiki wa mtuhumiwa ndio waliwapa polisi taarifa kumuhusu, lakini ili kazi ya polisi ifanyike kwa ufasaha, kwangu walitakiwa kumkamata mtuhumiwa na kumuweka ndani kwa uchunguzi na mahojiano ili waujue ukweli.

Hii tabia ya polisi kujichukulia sheria mkononi wakati mwingine inaweza kutumika vibaya.

Polisi wanaweza kutumika kumuua mtu kwa kulipiza kisasi kisichohusiana na ujambazi, hili ndilo linasababisha wapenda haki kulaani hii tabia ya polisi kuwaua watuhumiwa wakiwa mikononi mwao.
 
"Kinachogomba ni kumwua mtuhumiwa kinyume cha wajibu wao."

Zingatia: wameua watu waliokuwa mikononi mwao.

Hata shweitani atakuwa anawashangaa kwa kufikia kiwango hiki cha uharamia.
 
Mtasimama pekee yenu kwa kuwa siku zote mmekuwa na ajenda za siri.

Hamtapata kuungwa mkono na watanzania wanaowajua vyema nia zenu ovu.

Kuwa wote jando ndo iwe sababu ya kumjua mtu vizuri !!

NENDA KAMA UKIBAHATIKA KURUDI SALAMA UTAKUWA NA CHA KUHADITHIA BAADAE.
Bora kufuga kuku atakutagia mayai na utayala kwa chips zege kuliko kuwa na ndugu mwenye akili za fisi maji kama huyu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Polisi kwa sasa ndio wanaiweka serekali madarakani, hivyo hakuna namna yoyote watawajibishwa kwa wayafanyayo. Bila machafuko tusitegemee polisi kuacha mauaji kwa watuhumiwa.
 
NInakazia: "Bila machafuko tusitegemee polisi kuacha mauaji kwa watuhumiwa."

Ni wajibu wetu kusuka au kunyoa. Safari yetu kuelekea Tarime itawafahamisha kuwa sisi siyo wa hijabu tu.

Machafuko, wachague wao.
 
Back
Top Bottom