Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kesi itamalizwa kiaina..! Bongo marehemu hana haki bali ana hatiaAshakum si matusi polisi Mara:
View attachment 2369765
Kwa kutuona je vile?
View attachment 2369767
Ama kwa hakika kuitisha watu hawa kufikisha kunakostahili, ni kutochagua kuwa panya road kama wao.
NInakazia: uhalifu haushindwi kwa uhalifu
Hii kesi itamalizwa kiaina..! Bongo marehemu hana haki bali ana hatia
Jeshi liwekeze kwenye Intelligence ili liweze kuwa Proactive.
NB. USALAMA WA NCHI NI JAMBO NAMBARI MOJA.
Halafu wanamshikikilia
Halafu wanamshikikilia
Polisi ni genge la kihalifu lililoundwa na Serikali na kulindwa na wananchi👇
View attachment 2369784
View attachment 2369785
Mtasimama pekee yenu kwa kuwa siku zote mmekuwa na ajenda za siri.
Mtasimama pekee yenu kwa kuwa siku zote mmekuwa na ajenda za siri.
Hamtapata kuungwa mkono na watanzania wanaowajua vyema nia zenu ovu.
Kuwa wote jando ndo iwe sababu ya kumjua mtu vizuri !!
NENDA KAMA UKIBAHATIKA KURUDI SALAMA UTAKUWA NA CHA KUHADITHIA BAADAE.
watauliwa hata wasio na hatia
Inawezekana polisi huwa wana informers wao wanaowaelekeza kuhusu haya matukio, ndio maana huwaacha wengine na kwenda direct kwa specific person.
Huyo mwenyekiti wa kijiji anaweza kuwa sahihi, au asiujue ukweli kama mtuhumiwa alikuwa jambazi au hapana, pamoja na familia yake, sababu jambazi hufanya mambo yake kwa siri.
Inawezekana ni marafiki wa mtuhumiwa ndio waliwapa polisi taarifa kumuhusu, lakini ili kazi ya polisi ifanyike kwa ufasaha, kwangu walitakiwa kumkamata mtuhumiwa na kumuweka ndani kwa uchunguzi na mahojiano ili waujue ukweli.
Hii tabia ya polisi kujichukulia sheria mkononi wakati mwingine inaweza kutumika vibaya.
Polisi wanaweza kutumika kumuua mtu kwa kulipiza kisasi kisichohusiana na ujambazi, hili ndilo linasababisha wapenda haki kulaani hii tabia ya polisi kuwaua watuhumiwa wakiwa mikononi mwao.
Bora kufuga kuku atakutagia mayai na utayala kwa chips zege kuliko kuwa na ndugu mwenye akili za fisi maji kama huyuMtasimama pekee yenu kwa kuwa siku zote mmekuwa na ajenda za siri.
Hamtapata kuungwa mkono na watanzania wanaowajua vyema nia zenu ovu.
Kuwa wote jando ndo iwe sababu ya kumjua mtu vizuri !!
NENDA KAMA UKIBAHATIKA KURUDI SALAMA UTAKUWA NA CHA KUHADITHIA BAADAE.
Polisi kwa sasa ndio wanaiweka serekali madarakani, hivyo hakuna namna yoyote watawajibishwa kwa wayafanyayo. Bila machafuko tusitegemee polisi kuacha mauaji kwa watuhumiwa.