GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakijàa askari labda 200,
Raia wengine watakosa pakukaa na ukumbi utajaa
 
If you see a man with a SHAVEN FACE, a DENGE on his head, and a bizarre HITLER'S MUSTACHE, know that he is a PIG.

They're very predictable.​
Utachelewa sana kuwa spot kwa hizo muonekano tu, kama ni Ops ya Task force team.
 
Leo mapema katika mahakama ya Kisutu waliruhusiwa wanachama 20 tu wa chadema kuingia ukumbini. Kufika ndani wakukuta viti vimeshakaliwa vimejaa na wasiojulikana.

Baada ya malumbano baadhi ya wale waliotangulia kukaa wakajulikana kuwa ni polisi wamevaa kiraia. Je mahakama zetu ziko huru? HAKI
 
Aaaah wanazingua hao
 
Yaani polisi wa Tanzania bana
 
Tunajiabisha sana!
 
Watu wasiojulikana wanaenda mahakamani bila uoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…