Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,903
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro
 
Attachments

  • IMG-20160619-WA0025.jpg
    IMG-20160619-WA0025.jpg
    63.5 KB · Views: 159
  • IMG-20160619-WA0027.jpg
    IMG-20160619-WA0027.jpg
    70.6 KB · Views: 138
Wazee hapo ndio 'the base', wasituletee ukenge.
Kama mabaunsa wa Mosha walikaa hao askari ni wachache.
Halafu Keys pamekaa utamu kweli!
Yani askari wakiamshiwa popo hapo lazima wapoteane.
Wazee natamaani sana ningekuwepo hiyo mitaa tutiripue popo wa kufa mtu!
 
Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
 
Wazee hapo ndio 'the base', wasituletee ukenge.
Kama mabaunsa wa Mosha walikaa hao askari ni wachache.
Halafu Keys pamekaa utamu kweli!
Yani askari wakiamshiwa popo hapo lazima wapoteane.
Wazee natamaani sana ningekuwepo hiyo mitaa tutiripue popo wa kufa mtu!

Naona una hamu ya kujinyea tu wewe, una ubavu wa kuwaamshia popo police wewee??? Watu wengine mnatakaga sifa za kijinga na kuwaletea polisi kashfa tu bila sababu, kha!
 
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro
Hao wanafunzi ndio waliokuwa wanamtukana lowasa fisadi , na kuamua kubadili gia mwez 7 mwaka jana au Ni intake mpya , wasiomjua lowasa ?

Majibu tafadhali Mkuu ukiwa hapo kishimundu
 
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

Hahaha kuna watu walikuwa wanasema watu KLM siyo kama Dodoma, haya sasa askari wetu hao onyesheni U- KLM wenu!
 
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro
Nafurahi sasa kwani ccm ndio wanajichimbia kaburi wao wenyewe
 
Back
Top Bottom