Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Hatuwezi kuwa na nchi watu wanajfanyia mambo wanavyotaka,safi sana polisi haiwezekani watu wajenge nchi wao wafnye sherehe za kuchezea hela wakati huu n muda wa kubana matumizi wanashndwa kuiga vijana wa buku saba.
kwani leo mkulu yupo kanisa gani?
Utatokwa na mapovu sana...
 
Halafu Keys pamekaa utamu kweli!
Yani askari wakiamshiwa popo hapo lazima wapoteane.
Wazee natamaani sana ningekuwepo hiyo mitaa tutiripue popo wa kufa mtu!

Kibaka naona unatamani ungekuwepo ili utumie fursa ya kujipatia riziki kwa kutumia misuli...mna hali tete sana vibaka
 
teh teh....

CHASO Raisi amekataza Siasa mashuleni. Eleweni basi.
1466327454374.jpg
 
Haya ndiyo matokeo ya vita dhidi ya mafisadi wenye nguvu za kifedha na ushawishi.

To each action there is an equal opposite reaction. We expect to see more reactions but victory is definately certain.
 
Wako wapi waliojitamba jana kwamba wanaume wa kilimanjaro sio sawa na wanaume wa dodoma ?. Ugali wa mahindi unanoga jamani tena mahindi ya tz tofauti na ya rwanda
 
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro
Kuna siku utalia na kuyakumbuka haya yote. Mungu hana upendeleo. Ccm haitakuwepo mbele us Mungu kukutetea
 
Wakati mwingine hasira zinanipanda mpaka kichwani kuhusu hawa watumwa wa ccm police
 
Ni wakati sasa wa kutangaza hadharani kwamba watu hawaruhusiwi kukutana. Ilianza mikutano, imefika kwenye mahafari sasa tujiandae kuyaona kwenye harusi, send off, vokoba na vikao au mikutano mingine kwa kigezo au kichaka kile kile cha amani, taarifa za kiintelijensia na the like....
 
Utalii, nimekusoma.
Popo inaamshwa bab bila kujali ni nani.
Usiogope gwanda, tunapitiaga hao hata sita mtu mmoja.Ni heshima tu
kuna watu tumekulia kwenye kupigwa na kupiga so woga sio ishu.
Na wewe tulia tu utaona, kwa huu mchaka mchaka, show haiko mbali!
 
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro
Hivi majitu mengine yanaendaga kanisani kufanya nini? Unakuta jitu eti nalo limejipanga kwenda kukomunika, unakomunika nini wakati wewe roho yako ni sawa na shetani? Bora watu wasiwe wanaenda makanisani aiseee!
 
Back
Top Bottom