Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Mbowe Na fisadi kuu walikuepo? Hahahaha piga risasi za Moto kabisa huu MDA wa kazi Na siasa uchwara
 
J
Wazee hapo ndio 'the base', wasituletee ukenge.
Kama mabaunsa wa Mosha walikaa hao askari ni wachache.
Halafu Keys pamekaa utamu kweli!
Yani askari wakiamshiwa popo hapo lazima wapoteane.
Wazee natamaani sana ningekuwepo hiyo mitaa tutiripue popo wa kufa mtu!
WE UKIKAMATWA KWA UCHOCHEZI SHAURI YAKO
 
Utalii, nimekusoma.
Popo inaamshwa bab bila kujali ni nani.
Usiogope gwanda, tunapitiaga hao hata sita mtu mmoja.Ni heshima tu
kuna watu tumekulia kwenye kupigwa na kupiga so woga sio ishu.
Na wewe tulia tu utaona, kwa huu mchaka mchaka, show haiko mbali!
Sisi wengine tunasubiri mtu wa kulianzisha nasi tu join
 
Ngoja wazidi tu kujipaka mavi mpaka 2020 haitahitahitaji nguvu kubwa kueleza maana ya utawala wa kiimla.
 
Hahah kuna watu wanamiliki remote yakucontrol jeshi la polisi!
 
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro
Ewe mungu jaria uwaepushe wanafunzi na majibizano,maana hapo kwenye picha nakiona kitoto kinajipitia masikini hakijui nini kinaendelea
 
Ina maana nyakati hizi za JPM wanasiasa wa upinzani hawatakiwi hata kukaa vikao vya kifamilia...!!!??
 
Naona una hamu ya kujinyea tu wewe, una ubavu wa kuwaamshia popo police wewee??? Watu wengine mnatakaga sifa za kijinga na kuwaletea polisi kashfa tu bila sababu, kha!
Jaribu kutumia lugha za heshima kidogo basi maana hapa ni GT siyo fb
 
Nilivyo na ya hasira siku nikikutana na yule aliekula div 4 na anasoma udom degree face to face nitakacho mfanya nahisi hata shetani atasikitika
 
Hao wanafunzi ndio waliokuwa wanamtukana lowasa fisadi , na kuamua kubadili gia mwez 7 mwaka jana au Ni intake mpya , wasiomjua lowasa ?

Majibu tafadhali Mkuu ukiwa hapo kishimundu
Hatuwataki makuwadi wa siasa ndani ya ccm
by jk
 
Mimi ntabaki namlaumu sana Mbowe na Lowasa.
Pale kwenye matangazo ya uchaguzi, pale pale tungedundisha kitenesi saa hizi heshima ingeshajaa mtaani.
Tutazunguka sana mbuyu lakini kiukweli kwenye hii nchi kuna damu chafu ambayo inatakiwa isafishwe.
Na mimi natamaani hili litokee katika ujana wangu ili watoto wangu niwaachie mahali pazuri pa kuishi na kufanyia siasa.
 
Wazee hapo ndio 'the base', wasituletee ukenge.
Kama mabaunsa wa Mosha walikaa hao askari ni wachache.
Halafu Keys pamekaa utamu kweli!
Yani askari wakiamshiwa popo hapo lazima wapoteane.
Wazee natamaani sana ningekuwepo hiyo mitaa tutiripue popo wa kufa mtu!
Upo wapi muda huu? Mimi nipo home chumbani nimetulia naandika huu ujumbe.
 
Hahaha kuna watu walikuwa wanasema watu KLM siyo kama Dodoma, haya sasa askari wetu hao onyesheni U- KLM wenu!
Kumbe wewe ni mhutu ndiyo maana kauri zako zina muelekeo huo wa kuliingiza taifa kwenye mpasuko
 
Back
Top Bottom