Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Ni wakati sasa wa kutangaza hadharani kwamba watu hawaruhusiwi kukutana. Ilianza mikutano, imefika kwenye mahafari sasa tujiandae kuyaona kwenye harusi, send off, vokoba na vikao au mikutano mingine kwa kigezo au kichaka kile kile cha amani, taarifa za kiintelijensia na the like....
Siyo kwamba watu hawatakiwi kukutana. Ni wakati wa kupiga marufuku vyama vingine vya siasa tofauti na CCM maana inaelekea CCM inataka ibaki peke yake kwa nguvu ya dola. Maana kama lingekuwa suala la kukutana tu mbona wanaCCM wao wanakutana, na hayo mahafali yamefanyika? Nimesikia jana CCM wametangaza kufanya mkutano mkuu maalum mwezi ujao tarehe 23 wakati tumeambiwa mikutano ya kisiasa imepigwa marufuku. Hapa utasema nchi hii ina uongozi?
 
Mkuu hata hapa chuoni wamefika, wameingia chuoni Mwenge, wamezunguka ndani tunawaangalia tu maana wanafunzi wengi hawakuwepo, wamekaa kama dakika ishirini hivi wakaenda zao, Yaani nimeshindwa hata kuelewa tunakoelekea siko sasa.
 
Hahaha kuna watu walikuwa wanasema watu KLM siyo kama Dodoma, haya sasa askari wetu hao onyesheni U- KLM wenu!
Unmaanisha Polisi wa Serikali au wa Chama Chetu sijakupata hebu elezea usije ukachonganisha CCM na Polisi kwa vyama vya upinzani
 
Itafika kipind mtu ukivaa surual y kak basi polic wanakuzingira ama mkikaa kikundi cha watu kisha mkapga picha y pa1 kwa kuonesha alama y Vdole v2 basi magar washa yashafika.... Mungu iongoze nchi yetu
 
Itafika kipind mtu ukivaa surual y kak basi polic wanakuzingira ama mkikaa kikundi cha watu kisha mkapga picha y pa1 kwa kuonesha alama y Vdole v2 basi magar washa yashafika.... Mungu iongoze nchi yetu
Mtu akifanya kitu usimlaumu muulize sababu
 
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro
Hivi chaso ni chuo?Mikutano ya siasa haitoruhusiwa..
 
Hivi yule Dada aliyekua anapayuka jina La Amiri Jeshi Mkuu pale Dodoma jana as if anamtaja bf wake bado yupo mtaani tu... na anapumua hewa safii...

Aisee.... Police wamekua wapole sana.

Eti "mwambieni Magufuli hapa sio chato"

Whaatt.... That girl...
Aya kachukue buku 2 lumumba
 
Wazee hapo ndio 'the base', wasituletee ukenge.
Kama mabaunsa wa Mosha walikaa hao askari ni wachache.
Halafu Keys pamekaa utamu kweli!
Yani askari wakiamshiwa popo hapo lazima wapoteane.
Wazee natamaani sana ningekuwepo hiyo mitaa tutiripue popo wa kufa mtu!
Kwa kujishaua jf mnajitahidi
 
Hongereni polis tanzania kwa kuipandisha chadema chati
 
Back
Top Bottom