Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Utamaduni wa uvunjifu wa amani kwa makusudi ndiyo gia ya angani ya UKAWA!!! Tukusanyike kupanga mikakati ya kimaendeleo na siyo kutafuta bifu na utawala.
Leo jumapili mikakati gani nyie jana hamkuvunja kule iringa
 
Hongera polisi ili amani isivurugike.
1466333660606.jpg
ila hawa hawavunji amani sio ipo siku watu watachoka ndipo mtakumbuka nini maana ya DEMOKRASIA
 
Serikali ipige marufuku na kuweka kanuni ngumu kwa Vyuo husika kutokukubali matawi ya Siasa Vyuoni kuanzishwa na Wanachuo wasijihusishe na siasa kabisa na ikigundulika wafukuzwe chuo. Hii italeta discipline na watazingatia masomo tu. Police Hongereni na msiwachekee hao nia yao ni kuivuruga jamii kwa kuichonganisha na Serikali waliyoichagua wenyewe. VYAMA VYA SIASA ZINGATIENI MAKATAZO MBALIMBALI MNAYOPEWA NA POLICE
 
Serikali ipige marufuku na kuweka kanuni ngumu kwa Vyuo husika kutokukubali matawi ya Siasa Vyuoni kuanzishwa na Wanachuo wasijihusishe na siasa kabisa na ikigundulika wafukuzwe chuo. Hii italeta discipline na watazingatia masomo tu. Police Hongereni na msiwachekee hao nia yao ni kuivuruga jamii
Kuna siku utajuta. Amini yuko WaPo, Sadam yuko wapi etcw
 
Hivi majitu mengine yanaendaga kanisani kufanya nini? Unakuta jitu eti nalo limejipanga kwenda kukomunika, unakomunika nini wakati wewe roho yako ni sawa na shetani? Bora watu wasiwe wanaenda makanisani aiseee!
Wewe siyo Mungu wa kuhukumu binadamu wenzako.Mwachie Mungu atafanya kazi yake kwa mda mwafaka.
 
Serikali ipige marufuku na kuweka kanuni ngumu kwa Vyuo husika kutokukubali matawi ya Siasa Vyuoni kuanzishwa na Wanachuo wasijihusishe na siasa kabisa na ikigundulika wafukuzwe chuo. Hii italeta discipline na watazingatia masomo tu. Police Hongereni na msiwachekee hao nia yao ni kuivuruga jamii kwa kuichonganisha na Serikali waliyoichagua wenyewe.
Ndio maana hata rangi yetu ni nyeusi!
 
Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
1466334474931.jpg
 
Professa Chama, mchango wako unaonyesha haukupata bahati ya kusoma chuo.
Ila ni sawa, hakukuwa na sababu ya wazazi wako kuuza ng'ombe ili kusomesha ng'ombe nyingine!
 
Leo jumapili mikakati gani nyie jana hamkuvunja kule iringa
"Mwanahabari Huru" wajua kinachoendelea katika siasa za nchi hii kuliko wengi kutokana na mabandiko yako humu jamvini. Wewe utakuwa mmoja wa watu wa kwanza kuikimbia nchi, amani ikivunjika. Endelea na bandiko zako za uchochezi.

Tufuate na kutii sheria na kanuni tulizojiwekea. Huo ndo USTAARABU silika ya ubinadamu.

Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
 
Ebu wahi lumumba ukachukue buku 2 kabla ofisi hazijafungwa
Nimeishaenda tayari nimepewa buku 2 ns wewe nenda kwenye maandamano ukapambane na polisi ukipoteza maisha au kuvunjwa miguu makamanda watakusaidia kumlea mkeo.
 
Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
Mbona yapo maeneo ya kuoneshea uwezo jamani? Hao ni wananchi wenzetu sio amboni hapo
 
Back
Top Bottom