Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Kweli General Ulimwengu hakukosea, Zama hz democracy tumeludi nyuma miaka 50.
 
Mkuu issue simple ni kuomba kibali basi.. Issue yoyote yenye mrengo wa kisiasa omba kibali ! Ukishanyimwa ndio uanze kalalamika...
Mbona ccm mwanza walipo andamana kisa diwani wao kawekewa sumu ofisini waliandamana na hawakuguswa?au wapinzani siyo watanzania?
 
Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
Mbona magu anapeleka siasa mpaka kanisani hatusemi?
 
kuna shida inanukia. ccm wamezidi. hata kama akili za kupewa walipewa na kagame na museveni, imefika mahali wachanganye na zao. hii ni Tanzania
 
Mahafari ya CHASO hotuba zake kichekesho, "Sasa mbwela mbwela mpaka kieleweke".. mamvi anasema "Referrundum wala bunge haliwezi kuing'oa tume ya uchaguzi sababu wao wengi, tuige Kenya wamepigwa wamekufa kwa maandamano kudai tume, tuanze kesho..."
 
nitafurai sana kama polisi watafurusha na mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi mwezi ujao, hapo nitajua hawana upendeleo.
 
Mahafali ya kidini, kichama, kimichezo, kikabila, kikanda, nk... sasa mahafali ya KISIASA... labda serikali itoe tamko kwamba KUTAKUWA NA MAHAFALI YA KIMASOMO TUU! Na maranyingi huwa Nov baada ya matokeo! Over and out!
 
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

Hivi siku hizi mahafali yanaendeshwa kwa misingi ya kisiasa,huu ni uhuni hayo sio mahafali bali ni mikutano ya kisiasa,polisi wafenya vizuri kulinda amani.
 
Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
hivi unafahamu hata ccm wanazo biashara za namna hii huko vyuoni??,
 
Hivi siku hizi mahafali yanaendeshwa kwa misingi ya kisiasa,huu ni uhuni hayo sio mahafali bali ni mikutano ya kisiasa,polisi wafenya vizuri kulinda amani.
mkuu hivi kufanya siasa imekuwa illegal?
 
Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
Si kosa lako utakuwa na jinsia mbili ke/me
 
Back
Top Bottom