Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Hapa kazi tu
Mambo ya kijinga yalisha pita wakati wake

Pongezi kwa police
 
Hatuwezi kuwa na nchi watu wanajfanyia mambo wanavyotaka,safi sana polisi haiwezekani watu wajenge nchi wao wafnye sherehe za kuchezea hela wakati huu n muda wa kubana matumizi wanashndwa kuiga vijana wa buku saba.
kwani leo mkulu yupo kanisa gani?
Wiki mbili zilizopita ccm Dar es salaam walifanya mahafali ya wahitimu wa vyuo vikuu dsm na mgeni rasmi alikuwa JK, tena walifanyia sehemu ya wazi kabisa ambayo si ndani., police hawakutawanya watu!! Je hazikutumika fedha? Mahafali Iringa hazikutumika fedha? Yaani ukishakuwa ccm bila shaka unakuwa na akili za nzi au mende a.k.a Kilaza cubic...
 
Mkuu kuna mdau mmoja kasema huyu ni mnyarwanda kwao ni gisenyi,hivyo inawezekana ana nia mbaya sana na ustawi wa taifa letu
Naona kwa mbaaali ukweli wa maneno haya.... Tazama ziara za kwanza, Rwanda na Uganda.. Utapata maono ya hatari tuliyonayo... Hebu tujiulize...., kwani marehemu Mch Mtikila alikuwa mjinga kusema pia Mkapa nae si wa hapa....? [emoji32]
Watanzania wasomi tutafakari sana wapi nchi yetu inapelekwa...
 
Ni heri kuelekeza nguvu kupambana na umasikini kuliko kuwekeza nguvu kupambana na upinzani,kazi ya kupambana na upinzani ni kubwa kuliko kupambanana na umasikini,umasikini unaonekana kwa macho,lkn mawazo hayaonekani kwa macho,kwa hiyo kwa akili ya kawaida tu ni heri kupambana na umasikini kuliko kupambana na upinzani(fikra) kwa kuwa hazionekani kwa macho
 
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro
Taifa linaelekea kubaya. Mwambieni ukweli rais wenu. Acheni kumdanganya. Na nyie pia mnajidanganya. Mnashangilia mtego wa panya.
 
Wazee hapo ndio 'the base', wasituletee ukenge.
Kama mabaunsa wa Mosha walikaa hao askari ni wachache.
Halafu Keys pamekaa utamu kweli!
Yani askari wakiamshiwa popo hapo lazima wapoteane.
Wazee natamaani sana ningekuwepo hiyo mitaa tutiripue popo wa kufa mtu!
Base huku umejificha JF nenda uwanja wa mapambano uone mziki wa polisi wanavyofanya kazi ya kwa kutii sheria, yaani hiyo hotel ya Ndesamburo ndiyo mtakakugeuza uwanja wa mapambano.
 
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika

UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

Waende kanisani wakamwombe mungu sio kuhitimu kwa ujinga wa kivyama
 
Wanashindwa kuzingira kule Amboni watu walichinjwa,kule Mwanza majambazi waliweka makazi.Wao wanahangaika na raia wanao tumia haki yao ya kikatiba kabisa.

Kifuatacho ni kupiga marufuku KIGODA CHA MWALIMU.
 
Back
Top Bottom