BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Naona taarifa la Jeshi la Police la Kenya likisema litashirikiana hadi na taasisi zingine za kiraia katika kuchunguza miili 11 ilio kutwa.
Watashirikiana na Law Society of Kenya(LSK) hawa LSK ni mwiba mkari sana kwa Serikali ya Kenya hawa hawacheki cheki hawajipendekezi kama ilivyo Tanganyika Law Society ambao kutwa nzima ni kusifu na kuabudu watawala, kwa sasa TLS ni kama UVCCM tu ni ngumu sana kuwatofautisha na UVCCM, Tuyaache hayo.
Je Jeshi la Police Tanzania linaweza shirikiana na taaasisi zingine huru kuchunguza tu hata sakata la utekaji? Jibu ni kwamba sio rahisi kabisa na badala yake wao huwa wanajichunguza wenyewe.
Na pia taasisi za kuweza kusaidia ni kama Tanganyika law Society ambao walisha fika bei kitambo sana na kuhongwa hadi kiwanja na serikali ya CCM. Kinacho wafanya hawa TLS wawe kimya nyakati hizi na kuungana na CCM ni kuhofia zawadi ya kiwanja waliyo pewa wanaweza nyang'anywa na CCM endapo wataikosoa Serikali.