Polisi ya Kenya na Immigration mmeshindwa kuwadhibiti Waethiopia wanaokimbilia Afrika kusini?

Alafu shida nyengine ni kwamba tuko na open policy kuhusu refugees kutoka nchi Jirani, Wa South Sudan, Ethiopia, Somalia hua wakifika kwa border na kutumia neno refugee au assylum seeker , huwa wanaruhusiwa kuingia Kenya wanapewa ka recite flani inayowapatia kama 72 hours waripoti kwa kambi ya refugees ilioko karibu..... Wa ethipia wengi hua wanatumia hii sababu kuingia Kenya alafu badala ya kwenda kambi yenye iko karibu na border, kesho yake unawapata Nairobi, next day unawapata kwa border ya Tanzania,



According to this There are 10,000 Ethiopians seeking political Asylum in Kenya, DRC congo leads with 21,000 asylum seekers leaving in Kenya by 2017...



In addition to these 10,000 asylum seekers there are also 17,700 registered refugees from Ethiopia





https://reliefweb.int/sites/reliefweb.int/files/resources/Kenya statistics package October_2017.pdf


Kumbuka hawa ni wale officially registerd, since 2015 wasomali approx 200,000 waliregeshwa Somali -Voluntary repatriation. Waliobaki ni arround 300,000, lakini inasemekana Wasomali wanaoishi Kenya wanafika hadi 1 million

Assylum Seekers once approved hua wanaruhusiwa kutembea, kufanya biashara na kuishi popote lakini refugees hua wanatakikana kuishi ndani ya kambi ambako wanapewa vi tent na kupata chakula ni mpaka upige laini, wengi wao hua wanaona ni heri wakimbilia South Africa labda watapata maisha mazuri, wakifika pale boda ya Kenya wanasema wanaenda SA for better life, wale immigration officials wanawaachilia wapite tu manake wakienda nchi nyengine wanatupunguzia shida
 

Ukweli ndio huo baana wee.



https://www.google.com/search?clien...nnel=new&q=tanzanian+beggars+in+Kenya&spell=1

Na kuhusu hali ya njaa Kenya na Tanzania.....tukubali tu ukweli, ushabiq wa kitaifa tuachie kando...

Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials

 
Umechangia kwa jazba kwenye uzi wenye staha. Mengi yamesemwa na wakenya wenzako ambayo yako constructive. Mwengine amekili immigration officers wenu wana waachia huru kuingia Tz kupunguza mzigo. Sasa tungejuaje bila huu uzi kufunguliwa. Uwe unapunguza masikhara wengine wapo kazini hapa.
 
polisi Kenya wanatumia busara wanajua fika hawa ni wapita njia wanatafuta maisha Afrika kusini. Sisemi kitu kuhusu polisi wetu vyovyote vile itasemekana uchochezi.
hapa nazungumzia kufuata sheria si namna polisi ya Tanzania inavyotenda kazi.
 
lazima serikali zetu kwa pamoja kuwa na agenda ya pamoja.
 
tatizo ni kwamba huitaji visa kuingia Kenya ukiwa Mu-ethiopia! so u can imagine they can't arrest them..
Kwanini hivyo? unataka kuniambia waethiopia huingia free kenya? inafaa sasa serikali ya Kenya kuangalia suala hilo kwa umakini
 
Kwanini hivyo? unataka kuniambia waethiopia huingia free kenya? inafaa sasa serikali ya Kenya kuangalia suala hilo kwa umakini
Waethiopia bhana! Unajua ni nchi 2 tu ndio zina free entry ya Ethiopia!? Ni Kenya na Djibouti pekee. Zingine lazma MTU awe na Visa ya kuingia nchini hii jeuri sijui wanaipata wapi?
 
wamasai kuingia kenya kwa stakabadhi siyo tatizo maana wamefuata sheria. hoja yangu ni waoromo wanaopita njia za panya mpaka south africa. mimi ninachotaka ni udhibiti wa pamoja kwa serikali zote kuanzia addis ababa nairobi dar mpaka joberg. Je kwa upande wa Kenya sijaona mkiwakamata wahamiaji haramu hawa kama inavyofanyika Tanzania na nchi nyingine za kusini mwa afrika. usilete povu bro twende taratibu
 
Mtoa mada akili huna
 
WaEthiopia wanapita njia tu Kenya,kwanini uhamiaji Kenya wapoteze nguvu na rasilimali (resource) za kuwazuia!!?? wakati wanajua kuwa hao watu hawabakiii hapo Kenya...

Ni watu wenye akili mgando kama watanzania ndio wanakuwa na mawazo ya kijinga kama yako,Je unajua Uhamiaji Tanzania inatumia rasilimali (resource) kiasi gani cha pesa na nguvu zao kuwazuia hao waithiopia..

Fikiri fanya uamuzi kwa uhalisia sio kwa hisia,Uhamiaji kenya naona wako werevu kuliko uhamiaji Tanzania,kwa hili...
 
Afadhali wewe nimekuelewa.you sound better than some of you.
 
MK254 soma hii
 
Waethiopia bhana! Unajua ni nchi 2 tu ndio zina free entry ya Ethiopia!? Ni Kenya na Djibouti pekee. Zingine lazma MTU awe na Visa ya kuingia nchini.
nashangaa sana serikali ya Ethiopia kuachia raia wake wanazurura hovyo kama kuku na tunaambiwa ni nchi ambayo uchumi wake unakua kwa kasi hapa Africa sijajua bado tatizo la msingi la nchi ya Ethiopia . nimesikia waziri wao mkuu haile mariyam ameresign juzi juzi hapa. wana shida ya msingi hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…