Usishangae Mkuu,yaliyowakuta waithiopia ndio yanayowakuta watanzania awamu hii,waithiopia sio watu wakuzurura zurura kama mataifa mengine ya Afrika,ukifika ulaya au marekani utakutana na watanzania,wanigeria,waghana,wasenegali,wasomali,wagambia hayo ndio mataifa yanaoongoza kuzurura kutoka Afrika..
Kutokana na hali ya siasa Ethiopia ndio inafanya waithiopia waanze kutoka na kukimbia nchi yao,wako wengi sana wanakufa maji wakitokea Libya kuitafuta ulaya hawa wanaopitia Kenya,Tanzania ni kidogo sana
Raisi wetu na yeye ndio anaiga siasa za Ethiopia kuitawala Tanzania,suburi muda sio mrefu na sisi watanzania tutaanza kuhangaika kama hawa waithiopia..