Niksta254
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 397
- 214
ISIS sympathizer no wonder Munashangilia Alshabab wakifanya matendo mabayaTatizo lenu ninyi wakenya ni kutokuwa na information za nchi zingine, Tanzania hairuhusu omba omba kuzagaa mitaani, wanakamatwa na kurudishwa walikotoka, kwahiyo huwa wanakimbilia nchi za jirani, kama wangeruhusiwa huku Tanzania, kamwe wasingelivuka mipaka, kwasababu watanzania kwa ujumla ni watu wenye kupenda kusaidia zaidi ya wakenya.