Polisi ya Kenya na Immigration mmeshindwa kuwadhibiti Waethiopia wanaokimbilia Afrika kusini?

Polisi ya Kenya na Immigration mmeshindwa kuwadhibiti Waethiopia wanaokimbilia Afrika kusini?

Tatizo lenu ninyi wakenya ni kutokuwa na information za nchi zingine, Tanzania hairuhusu omba omba kuzagaa mitaani, wanakamatwa na kurudishwa walikotoka, kwahiyo huwa wanakimbilia nchi za jirani, kama wangeruhusiwa huku Tanzania, kamwe wasingelivuka mipaka, kwasababu watanzania kwa ujumla ni watu wenye kupenda kusaidia zaidi ya wakenya.
ISIS sympathizer no wonder Munashangilia Alshabab wakifanya matendo mabaya
 
Back
Top Bottom