Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #61
sasa kuna haja gani ya kuwa na ofisi ya uhamiaji Kenya? wafute basi ili ijulikane Kenya ni free entranceWaEthiopia wanapita njia tu Kenya,kwanini uhamiaji Kenya wapoteze nguvu na rasilimali (resource) za kuwazuia!!?? wakati wanajua kuwa hao watu hawabakiii hapo Kenya...
Ni watu wenye akili mgando kama watanzania ndio wanakuwa na mawazo ya kijinga kama yako,Je unajua Uhamiaji Tanzania inatumia rasilimali (resource) kiasi gani cha pesa na nguvu zao kuwazuia hao waithiopia..
Fikiri fanya uamuzi kwa uhalisia sio kwa hisia,Uhamiaji kenya naona wako werevu kuliko uhamiaji Tanzania,kwa hili...
watu kama hao wasikupe tabu.kama tuna hospitali za vichaa kwanini tukose watu kama hawa mitaani?Dah! mkuu umeniaibisha hivi huu ndio mwisho wako wakufikri!!!,,,sasa nikuulize nini sababu za kumfanya mtoa mada asiwe na akili
[emoji16][emoji16] inapendezaNimeona mna complicates mambo sana niemona niwape na vionjo vya warembo wa Addis Ababa.
Usishangae Mkuu,yaliyowakuta waithiopia ndio yanayowakuta watanzania awamu hii,waithiopia sio watu wakuzurura zurura kama mataifa mengine ya Afrika,ukifika ulaya au marekani utakutana na watanzania,wanigeria,waghana,wasenegali,wasomali,wagambia hayo ndio mataifa yanaoongoza kuzurura kutoka Afrika..nashangaa sana serikali ya Ethiopia kuachia raia wake wanazurura hovyo kama kuku na tunaambiwa ni nchi ambayo uchumi wake unakua kwa kasi hapa Africa sijajua bado tatizo la msingi la nchi ya Ethiopia . nimesikia waziri wao mkuu haile mariyam ameresign juzi juzi hapa. wana shida ya msingi hao
After 2 week nitakuwa Ethiopia hivyo labda nitakuwa na mengi zaidi ya kuzungumza na kushare but inaonekana Ethiopia ina yale yale ya Rwanda.nashangaa sana serikali ya Ethiopia kuachia raia wake wanazurura hovyo kama kuku na tunaambiwa ni nchi ambayo uchumi wake unakua kwa kasi hapa Africa sijajua bado tatizo la msingi la nchi ya Ethiopia . nimesikia waziri wao mkuu haile mariyam ameresign juzi juzi hapa. wana shida ya msingi hao
😀😀😀watu kama hao wasikupe tabu.kama tuna hospitali za vichaa kwanini tukose watu kama hawa mitaani?
Uhamiaji Kenya wanafanya kazi kutokana na masilahi ya Kenya,nikupe mfano mdogo Holland kama unakamatwa na madawa ya kulevya labda heroin au cocaine ipatayo kilo moja au mbili,waholanzi hawakufungi ispokuwa wanakutoa nje ya nchi,wanakurejesha kwenu au sehemu unapotaka kwendasasa kuna haja gani ya kuwa na ofisi ya uhamiaji Kenya? wafute basi ili ijulikane Kenya ni free entrance
inasikitisha sanaUsishangae Mkuu,yaliyowakuta waithiopia ndio yanayowakuta watanzania awamu hii,waithiopia sio watu wakuzurura zurura kama mataifa mengine ya Afrika,ukifika ulaya au marekani utakutana na watanzania,wanigeria,waghana,wasenegali,wasomali,wagambia hayo ndio mataifa yanaoongoza kuzurura kutoka Afrika..
Kutokana na hali ya siasa Ethiopia ndio inafanya waithiopia waanze kutoka na kukimbia nchi yao,wako wengi sana wanakufa maji wakitokea Libya kuitafuta ulaya hawa wanaopitia Kenya,Tanzania ni kidogo sana
Raisi wetu na yeye ndio anaiga siasa za Ethiopia kuitawala Tanzania,suburi muda sio mrefu na sisi watanzania tutaanza kuhangaika kama hawa waithiopia..
Habari ndio hiyo mkuu,majuzi tu serikali ya Ethiopia imewaachia wafungwa wa kisiasa zaidi ya 700...Tanzania tunaelekea kwenye kiza kirefu,mungu atusaidieinasikitisha sana
Ni kweli mkuu kwani si jambo dogo hili, tunaweza kuwa na huruma nao lakini binadamu wote sio wema wamo na wahalifu wanaojichanganya.lazima serikali zetu kwa pamoja kuwa na agenda ya pamoja.
Lakini pia ukumbuke upande wenu Kenya wanaingia kwani ni jirani lakini safari ya kuingia Tanzania wanaingia kwenye malori tena wengi wakiwa kwenye containers ambapo matokea yake wengi hufa kwa kukosa hewaWaEthiopia wanapita njia tu Kenya,kwanini uhamiaji Kenya wapoteze nguvu na rasilimali (resource) za kuwazuia!!?? wakati wanajua kuwa hao watu hawabakiii hapo Kenya...
Ni watu wenye akili mgando kama watanzania ndio wanakuwa na mawazo ya kijinga kama yako,Je unajua Uhamiaji Tanzania inatumia rasilimali (resource) kiasi gani cha pesa na nguvu zao kuwazuia hao waithiopia..
Fikiri fanya uamuzi kwa uhalisia sio kwa hisia,Uhamiaji kenya naona wako werevu kuliko uhamiaji Tanzania,kwa hili...
Suluhu ni kujiepusha kuiga siasa za Ethiopia,Suluhu ni kupinga viongozi wanaoiga siasa kama za Ethiopia,hawa yamesha wakuta zamu yetu inakujaLakini pia ukumbuke upande wenu Kenya wanaingia kwani ni jirani lakini safari ya kuingia Tanzania wanaingia kwenye malori tena wengi wakiwa kwenye containers ambapo matokea yake wengi hufa kwa kukosa hewa
Tuwahurumie hawa watu wamepitia changamoto nyingi sana.
Suluhu itafutwe bila mihemko
tutayapata yanayowakuta.Habari ndio hiyo mkuu,majuzi tu serikali ya Ethiopia imewaachia wafungwa wa kisiasa zaidi ya 700...Tanzania tunaelekea kwenye kiza kirefu,mungu atusaidie
kabisa huu ndogo ukweli wachukue hatua maramoja. hivi sasa tuna zaidi ya raia elfu moja wa Ethiopia na Eritrea katika magereza ya Tanzania hili si jambo dogoNi kweli mkuu kwani si jambo dogo hili, tunaweza kuwa na huruma nao lakini binadamu wote sio wema wamo na wahalifu wanaojichanganya.
Lazima serikali zote kwa pamoja i mean waitishe hata kikao cha dharura sio lazima kusubiri eti mpaka mkutano wa Umoja wa Africa hapana.
Masuala makubwa kama haya wasiyapuuze kabisa.
Hebu angalia juzi huko Wiltshire ambapo Russian spy na mtoto wake yaliyowakuta mara moja kikao cha Cobra kilifanyika.
Masuala yetu huwa tunachukulia poa tu na wanaoumia ni hao wakimbizi lakini ni lazima serikali ya Ethiopia iambiwe ukweli na watueleza kinachoendelea
Na kweliSuluhu ni kujiepusha kuiga siasa za Ethiopia,Suluhu ni kupinga viongozi wanaoiga siasa kama za Ethiopia,hawa yamesha wakuta zamu yetu inakuja
Djibouti hapo nandhani ndio jirani ambaye hana vita vyovyote na Ethiopia na pia kuna ile port yao ambayo Ethiopia wanaitumia. Kenya pia tumekuwa na uhusiano wa muda mrefu na Ethiopia, hata kabla ya Kenya kupata uhuru. Haile Selassie enzi zile aliwafadhili sana Mau Mau.Waethiopia bhana! Unajua ni nchi 2 tu ndio zina free entry ya Ethiopia!? Ni Kenya na Djibouti pekee. Zingine lazma MTU awe na Visa ya kuingia nchini hii jeuri sijui wanaipata wapi?
wamasai kuingia kenya kwa stakabadhi siyo tatizo maana wamefuata sheria. hoja yangu ni waoromo wanaopita njia za panya mpaka south africa. mimi ninachotaka ni udhibiti wa pamoja kwa serikali zote kuanzia addis ababa nairobi dar mpaka joberg. Je kwa upande wa Kenya sijaona mkiwakamata wahamiaji haramu hawa kama inavyofanyika Tanzania na nchi nyingine za kusini mwa afrika. usilete povu bro twende taratibu
Tatizo lenu ninyi wakenya ni kutokuwa na information za nchi zingine, Tanzania hairuhusu omba omba kuzagaa mitaani, wanakamatwa na kurudishwa walikotoka, kwahiyo huwa wanakimbilia nchi za jirani, kama wangeruhusiwa huku Tanzania, kamwe wasingelivuka mipaka, kwasababu watanzania kwa ujumla ni watu wenye kupenda kusaidia zaidi ya wakenya.Kumbe watz wengi hawajui kwamba omba omba kutoka Tz wametapakaa kwenye miji karibia yote ya Kenya? Ndio maana mnamparamia aliyewaletea ujumbe? Juzi juzi tu huku Kenya watanzania wawili wametupwa jela, tena si kwa miaka michache. Baada ya hakimu kule Kuria kuwapata na kosa la ulanguzi wa watoto walemavu kutoka Tz. Walikuwa wanaletwa huku Kenya ili watumike kwenye shughuli zao za kuchapa hela kwa kuomba omba. Mtu akijaribu kunieleza kwamba wanatoroka utajiri kwenye nchi yao, ntamzaba kofi!
hahahaha watanzania are liars... that's what the world knowsTatizo lenu ninyi wakenya ni kutokuwa na information za nchi zingine, Tanzania hairuhusu omba omba kuzagaa mitaani, wanakamatwa na kurudishwa walikotoka, kwahiyo huwa wanakimbilia nchi za jirani, kama wangeruhusiwa huku Tanzania, kamwe wasingelivuka mipaka, kwasababu watanzania kwa ujumla ni watu wenye kupenda kusaidia zaidi ya wakenya.
Nimeshangazwa sana na ongezeko kubwa la maelfu kwa mamia ya wahamiaji haramu kutoka Ethiopia ambao wanakamatwa na vyombo vya ulinzi na usalama hapa Tanzania.
Sasa nataka tu nijue huko Kenya watu hawa wanapita pita vipi mpaka kuingia Tanzania bila kuonekana? Hapa kuna harufu ya rushwa tena iliyokithiri katika Serikali ya Kenya hasa Idara ya Polisi na Uhamiaji.
Nikuombe Rais Uhuru Kenyatta najua wewe si member hapa lakini kwa yeyote anayehusika na masuala haya naomba amfikishie Ujumbe Mh. Rais Uhuru kwamba Ofisi yake ya Polisi na Uhamiaji imeoza kwa rushwa hasa kwenye kuwapitisha Waethiopia katika njia za panya ili kuwasaidia kuingia South Africa.
Mnaitia aibu nchi yenu haiwezekani Polisi na Uhamiaji ya Tanzania ndio ifanye Jukumu kubwa la kudhibiti wimbi la wahamiaji wa Kiethiopia wanaopita katika mipaka yenu.
Sitaki povu najua Ujumbe umefika.