johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Na inasemdkana huyo dem alitembea na mme wa mtu,mke ambaye ni polisi ndy alisuka mission hiyoNo mercy for sexual sadists and deviants 📌
No mercy for rapists 📌
No mercy for pedophiles 📌
Kamata piga mvua 30+ hao mbwa!
....and no probation!
Mtu tano mkuu, sio siri video inasikitisha sana. Wamemfanyia unyama sana yule mtotoMtu tatu ndan ya track Moja na track imetokaa nzimaa...
Inasemekana hivyoKwa hiyo mpango ulifanywa na "mke wa mtu" bila shaka
kwann utembee na mme wa mtu ?Watamtaja huyo polisi na kazi yake ni kwisha sasa
Na hao wanyama wakabakwe na wenyewe kwa kuwasukumizia virungu vya polisi mtaroni pale kwenye karakana ya kituo cha oysterbay