Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Hivi hii nchi imefikia hapa? Watu wanafanya unyama wa aina hiyo na bado wanajitangaza kabisa kwa ushenzi huo?nashauri Sheria ifate mkondo wake.Waanza na huyo mke wa mtu na mume pia aparikane hao watapatikana tu kwani serikali Ina mkondo mrefu.Tutawalelea wapi watoto wetu?
 
Wakipatikana hatua Kali na nzito zichukuliwe dhidi Yao wabakaji wakubwa
Duniani hakuna kitu kinaitwa mme wa mtu Kuna mke wa mtu pekee.
Polisi Tanzania wananishangaza sana kwa kweli, jambo kama hili lichukuliwe serious na hawa watu wapewe adhabu wanayostahili maana hujui mangapi wamefanya ila shida yangu ni hawa police. Kwenye sauti yule mdada alikuwa na mume wa mtu na anaambiwa omba msamaha na kamuomba msamaha, sasa mimi sio mpelelezi kweli gumu kuwapata? muulize Dada ni mwanamme gani huyo, alikuwa anamuomba msamaha nani huyo akamwatwe kwanza aunganishwe na watu aliowatuma liwe funzo kwa upumbavu kama huu. Kitu hakikubaliki kabisa kachukuwa mume wako nenda kampige makofi mumeo.
 
Nchi hii imefikia kubaya sana
Kuna uchafu mwingi unafanyika
Sasa 9,10 kuna yale matamasha ya baikoko ni nomaaa huko watu wanapigana mtungo wanazamishana chupa huku singeli amapiano wakitumbuiza
Dar sahv kuna wDada wanaanda sex party nahisi muandaji anafahamika wanauza kadi kingilio,huko watu watmbn wanafln

Ova
Dunia itaisha mda si mrefu ,shetani anaebdesha Dunia kwa Namana anavyotaka.
 
Polisi Tanzania wananishangaza sana kwa kweli, jambo kama hili lichukuliwe serious na hawa watu wapewe adhabu wanayostahili maana hujui mangapi wamefanya ila shida yangu ni hawa police. Kwenye sauti yule mdada alikuwa na mume wa mtu na anaambiwa omba msamaha na kamuomba msamaha, sasa mimi sio mpelelezi kweli gumu kuwapata? muulize Dada ni mwanamme gani huyo, alikuwa anamuomba msamaha nani huyo akamwatwe kwanza aunganishwe na watu aliowatuma liwe funzo kwa upumbavu kama huu. Kitu hakikubaliki kabisa kachukuwa mume wako nenda kampige makofi mumeo.
Safi kabisa waanzie hapo kamata huyo mume na mke watasema nani walihusika ni vurumisha wote miaka ya kutosha jela
 
Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja

Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi

Taarifa imetolewa na DCP Msiime
Msemaji wa Polisi

View attachment 3061184
Hiyo ni njia ya kumlinda huyo Mjeshi na Waliofanya huo unyama.

Ilifaa Rais atoe amri ya kufutwa kazi mara Moja Kwa hao watu
 
Back
Top Bottom