Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Ni ujinga wa kiwango cha lami. Badala kubdeal na mume unaenda ku deal na mwanamke mwanzako. Kazi hana, mume atamkosa na jela inamhusu. Wakati mwingine sijui watu wanafikiria kwa kutumia nini.
Hasira na kisasi ni kazi ya shetani ukijiona una pata hasira jitahidi sana kujidhibiti maana yake umetawaliwa na shetani kuna siku hasira zitakuponza
 
Back
Top Bottom