Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Nchi hii imefikia kubaya sana
Kuna uchafu mwingi unafanyika
Sasa 9,10 kuna yale matamasha ya baikoko ni nomaaa huko watu wanapigana mtungo wanazamishana chupa huku singeli amapiano wakitumbuiza
Dar sahv kuna wDada wanaanda sex party nahisi muandaji anafahamika wanauza kadi kingilio,huko watu watmbn wanafln

Ova
Muandaji party kama cio ***love czani.
 
Wa kulaumiwa ni huyo mwanaume. Kwanza kale kabinti kanaonekana ni kashamba na huenda huyo mume wa mtu alikadanganya hajao. Kiumri anaonekana ni mdogo sana.
tusipende unafiki , dunia ya vitoto vimeharibika kuanzia miaka 16 jiulize huyo ana mingap ? msichana mshamba ndo aende guest ? hatutoweza tatua haya bila kuacha unafiki wetu,
 
Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja

Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi

Taarifa imetolewa na DCP Msiime
Msemaji wa Polisi

View attachment 3061184
Hawa polisi si walsema kwamba hawafatilii(hawafanyii kazi) habari/taarifa za mitandaoni?
 
Ni ujinga wa kiwango cha lami. Badala kubdeal na mume unaenda ku deal na mwanamke mwanzako. Kazi hana, mume atamkosa na jela inamhusu. Wakati mwingine sijui watu wanafikiria kwa kutumia nini.
unafiki ndo ttzo lenu , hao watoto wanaacha watu single wanaenda dandia watu za watu , anapewa bajeti nzima na anaenda kumkejel mke wa jamaa

acha yamkute , hatutaweza yamaliza haya bila kuwepo mazingira ya kutisha kwao , date na mtu wa type yako animal wote na sio kudandia mafanikio ya watu
 
Sasa mfano kama yule wa Simiyu, yeye ni RC halafu anampiga mkwala mwanafunzi si anajikuta anakubali tuu! Kumbe anaenda fanyiwa yasiyofaa!
Hivyo kuwa mume wa mtu basi alaumiwe huyo mume
hayo maelezo yako yanajibu swali langu ? nmesema ni sahihi huyo Rc kutembea na huyo dada yako ?

KWANINI UTEMBEE NA MUME WA MTU ? simple question
 
Back
Top Bottom