Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Wanasema alitoka na mume wa mtu,. Mke ndio akatuma wahuni wamfanyie hivyo
Ghaiii… ila binadamu 🙌

Mpaka mke anatuma wahuni means nae alishakuwa useless kwa mume. Angekuwa na thamani wangeyajenga chumbani.

Wanaume wasio cheat ukikusanya laki 1. Wasiocheat unapata mmoja au ukose kabisa 🤣🤣
 
Na wanawake ambao wapo tayari wakuone unatoka na Mme wake wakuache salama ni mmoja Kati ya laki saba
 
Ghaiii… ila binadamu 🙌

Mpaka mke anatuma wahuni means nae alishakuwa useless kwa mume. Angekuwa na thamani wangeyajenga chumbani.

Wanaume wasio cheat ukikusanya laki 1. Wasiocheat unapata mmoja au ukose kabisa 🤣🤣
Wanasema mke ni Askari eti,. Ila maisha haya
Binti mdogo kabisa 15yrs
 
Huyo mwanamke afande hafai kabisa katika jamii, naomba msisambaze video hizo kwani kufanya hivyo ni kusupport ukatili huo.
 
Back
Top Bottom