Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

wanakwambia ni nature. Ni vile tu afanye kwa kukuheshimu aliyekuweka ndani, usione dalili wala kujua.

Labda hana mwili wa kibaba/ kifataki,, katoto nako kakajikuta kamefall inlove
Mmnh,. Kweli wazazi tuwe makini na watoto wetu
Ila wanaume hapana kwakweli,. Bora angemchiti na midada ya mjini walau mke unaweza kusema labda kuna vitu kanizidi ila mtoto mdogo jamani hii🤔
 
Sijui nisemeje unielewe… ila as woman umechitiwa, si unatakiwa uanze kutafuta chanzo? Au ni boom to kisasi? Kama hilo baba ndio lihuni?
There is no justification in cheating dearest, ukisema utafute chanzo wakati mwingine wala hutakipata, wanaume wameumbwa as polygamist in nature kwa hiyo hata uwe mwanamke perfect and a half bado watacheat sema its more painful anapokucheat wazi au ukagundua, nyumba inakua haina heshima, afanye tu huko ila anaporudi nyumbani kunakua na heshima

Kosa kubwa ni mwanamke kupigana na mchepuko wa mume,naona kama unazidi kujishushia heshima, ni busara kudeal with your huband and not his side chick. Na pia hakuna sababu ya kutoana toho au kutumiana wahuni,kama mtu unaona yamekushinda,leave the toxic marriage and start a new page
 
Lazima dada mwanajeshi akili ilimruka mume wake naona alipagawa Kwa binti ,, binti anaonekana Yuko 🔥🔥🔥🔥 kwenye 6x6 . Dada mwanajeshi akapandwa na kichaa cha ndoa......
Tuepushwe na the so called kichaa cha mapenzi/ mahusiano nk ni hatari inaonekana hasira yake ni kali sana
 
Back
Top Bottom