Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Katembea na mume wa boss Wao 🚮🚮Binti alikosea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katembea na mume wa boss Wao 🚮🚮Binti alikosea nini?
HahahahahaKatembea na mume wa boss Wao 🚮🚮
Huyo mwanamke afande hafai kabisa katika jamii, naomba msisambaze video hizo kwani kufanya hivyo ni kusupport ukatili huo.
Hahahahaha, wanapeleka motoAisee kweli wamefanya ukatili mkubwa sana yaani binti anaomba maji ya kunywa wahuni hawaelewi dadekii daah kuna makatili dunianii
Mmnh,. Kweli wazazi tuwe makini na watoto wetuwanakwambia ni nature. Ni vile tu afanye kwa kukuheshimu aliyekuweka ndani, usione dalili wala kujua.
Labda hana mwili wa kibaba/ kifataki,, katoto nako kakajikuta kamefall inlove
Me nimeona picha zake tu sijaona video,. Wengi waliopost insta ndio wanasema hivyo ana miaka 15Aisee inasikitisha so kwenye video anaoneka hivyo au umekisia tu?
Sijui nisemeje unielewe… ila as woman umechitiwa, si unatakiwa uanze kutafuta chanzo? Au ni boom to kisasi? Kama hilo baba ndio lihuni?
Hapana naogopa mkuu,. Stories tu za insta na huku nishapata picha ya tukio zima yanini kuutesa moyo wangu😅😬Nenda Twitter (x.com) utakutana nayo
Ni mdada wa kazi? Au ni gani?Katembea na mume wa boss Wao 🚮🚮
Sijui. Em nisiisemee hasira, yasije kunikuta mimi ndio nikaua kabisa. Ila hapana, hiyo hasira kuu sijazaliwa nayo 🥹We acha ukiingia katika 18 za mwanamke ndo utawajua wanawake wapoje !
Sio Mdada wa Kazi, katembea na mume wa mtu , mwenye mumewe ndio mwanajeshi ndio kawatuma Hao wamkomeshe asiendelee kutembea na mume wake....Ni mdada wa kazi? Au ni gani?
Mhh! Napo wadada tuangalie location za dating. Unaposhinda muda mwingi paache kama palivyo. Fanya kazi sepa
Basi fanya kuirudisha si unajua nilikua na haraka hata sikuangalia mwenyewe na nikafuta bahati mbaya
There is no justification in cheating dearest, ukisema utafute chanzo wakati mwingine wala hutakipata, wanaume wameumbwa as polygamist in nature kwa hiyo hata uwe mwanamke perfect and a half bado watacheat sema its more painful anapokucheat wazi au ukagundua, nyumba inakua haina heshima, afanye tu huko ila anaporudi nyumbani kunakua na heshimaSijui nisemeje unielewe… ila as woman umechitiwa, si unatakiwa uanze kutafuta chanzo? Au ni boom to kisasi? Kama hilo baba ndio lihuni?
Sawa😃Ukifanikiwa niforwardie.
Angemkanya basi kwanzaSio Mdada wa Kazi, katembea na mume wa mtu , mwenye mumewe ndio mwanajeshi ndio kawatuma Hao wamkomeshe asiendelee kutembea na mume wake....
Inasikitisha sana kwa kweli.Nin kinachoendelea hapa mkuu?
Kuna Vitu havisimuliki wanakutana navyo 😅🤸🤸🤸 tuzidi kuwaombea.Angemkanya basi kwanza
😂 em tusichoke kuwaombea hawa wababa.
Tuepushwe na the so called kichaa cha mapenzi/ mahusiano nk ni hatari inaonekana hasira yake ni kali sanaLazima dada mwanajeshi akili ilimruka mume wake naona alipagawa Kwa binti ,, binti anaonekana Yuko 🔥🔥🔥🔥 kwenye 6x6 . Dada mwanajeshi akapandwa na kichaa cha ndoa......