Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

Nimeshaedit Mtani. Najua mmepata pa kuongea. Uwanja ni wenu Mtani.

Ila nirudie tu ile ni mechi ya kirafiki na mpira una matokeo matatu pia.
Pole mtani. Kwenye migongo wazi wote wewe ni mmojawapo ninayemheshimu. Kwani unajua utani wa timu hizi bila matusi wala jazba. Mtani sio kabila hilo kwamba huwezi badili. Ohh shauri yako.
 
Nashindwa kuelewa why TFF ina chuki na yanga, mana si kwa kubebwa kule
 
Reactions: Tui
Hivi madactari wanaweka MIDADI katika kundi gani la magonjwa ya akili?
Nina rafiki yangu ni daktari wa magonjwa ya akili lakini hajui kiswahili, nataka nimuulize hili swali lakini nimeshindwa kwa kuwa sijui neno midadi kwa kizungu ni nini? Msaada tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…