Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

Kwani kumetokea nini?Mbona Mbutembute wanatukana sana.Kimetokea nini?
 
Pole mtani. Kwenye migongo wazi wote wewe ni mmojawapo ninayemheshimu. Kwani unajua utani wa timu hizi bila matusi wala jazba. Mtani sio kabila hilo kwamba huwezi badili. Ohh shauri yako.
Ahsante Mtani. 🙏🙏

Siwezi kubadili kwa kweli. Nina imani na timu ya Wananchi kwani matokeo ka haya huwa hayaepukiki saa ingine.
 
nyie mambumbumbu misukule ya MO hiyo ni mechi ya kirafiki haina maana yoyote hata yanga wafungwe 30 bila. kuweni na akili mazezeta ya manara
Uko serious mkuu? umejisikiaje ulipopapaswa 2 ? zinaondoa mororaly kwa wananchi na wachezeji kutojiamin
 
Hawa wakikutana na kile kikosi cha wabrasil kinachochezea tanzania kwenye timu ya mabingwa wa nchi mara tatu mfululizo, chini ya muwekezaji bilionea namba moja afrika mashariki na kati. Yanga itapigwa kipigo kibaya sana ambacho hakijawahi kushuhudiwa popote pale
 
Binafsi sina cha kulaumu nilimwelewa Kocha kabla na baada ya mechi alichokisema.

Japo hayo matokeo kwa maandalizi huwa nayapenda sana,ili kupata solution mapema
 
Endelea kuota
 
Mwinyi Zahera mwishoni mwa mchezo ameelezea vizuri. Amewapa wachezaji wa akiba nafasi ya kuonekana, lakini kwa mara ya pili mfululizo wamemwangusha.

Nina imani hawatamlaumu mwalimu watakapo sugua benchi ligi itakapoanza. Mechi ijayo na Afc Leopalds ni full kikosi. Hakuna namna. Bado nina imani na timu yangu.
 
Mechi ni ya kirafiki, kocha amewapa nafasi wachezaji wengi wa akiba ili kuona namna ya kuwatumia kwenye michezo ijayo, lakini wameendelea kumuangusha. Hakuna namna. Nina imani timu yetu itafanya vizuri kwenye michezo ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…