Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaKwani imetokea nini mbona mbutembute wanatukana sana na povu limewajaa midomoni. Kwani imetokea nini?
Mwinyi Zahera kwa mwendo huu atapona kweli....?
Kwani kimetokea nini mpaka iwe msimu wake wa mwisho?Kimetokea nini???Msimu wake wa mwisho yanga huu tena afiki mwisho
Ahsante Mtani. 🙏🙏Pole mtani. Kwenye migongo wazi wote wewe ni mmojawapo ninayemheshimu. Kwani unajua utani wa timu hizi bila matusi wala jazba. Mtani sio kabila hilo kwamba huwezi badili. Ohh shauri yako.
Uko serious mkuu? umejisikiaje ulipopapaswa 2 ? zinaondoa mororaly kwa wananchi na wachezeji kutojiaminnyie mambumbumbu misukule ya MO hiyo ni mechi ya kirafiki haina maana yoyote hata yanga wafungwe 30 bila. kuweni na akili mazezeta ya manara
Hakika Mtani na jumapili tunatest kile kikosi kingine.Nadhani sasa mko tayari kwa mechi ngumu ya CACL huko ugenini maana mmetambua makosa yenu yalipo.
Binafsi sina cha kulaumu nilimwelewa Kocha kabla na baada ya mechi alichokisema.View attachment 1182950
Yanga ikiwa imeingiza full mkoko full kikosi imekula bao 2 bila na timu ya Polisi Tanzania
Yanga imecheza mechi hii kujiandaa za mechi ya kimataifa dhidi ya Township rollers.
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Sio kwa aibu hii.View attachment 1182954
Kikosi kikali
Endelea kuotaHawa wakikutana na kile kikosi cha wabrasil kinachochezea tanzania kwenye timu ya mabingwa wa nchi mara tatu mfululizo, chini ya muwekezaji bilionea namba moja afrika mashariki na kati. Yanga itapigwa kipigo kibaya sana ambacho hakijawahi kushuhudiwa popote pale
Sawa Shem.Achana nao shemela.
Msimu huu ndiyo game ya kwanza timu imefungwa na ni mazoezi tuMwinyi Zahera kwa mwendo huu atapona kweli....?
Bahati yenu mliondoka mapema morogoro vinginevyo mngechota mafuta tu.Mtani hebu gangeni na Azam kesho. Haya si yameshapita? Au wenzetu bado mnayo? 😜😜