Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana..
Kafulila ndiye sasa amekuwa mtesi wa wapinzani?Aibu kubwa sana kwa polisi
Policcm buana na div 5 zao.
Mnavyowadhihaki kwa comments za namna hii ndio mnafikiri wataacha kuwawashia moto!??
Tatizo lenu bado hamjawa na busara na hekma ktk kudeal na mambo ya namna hiyo zaidi ya kutoaga matusi na kashfa mitandaoni dhidi ya Serikali na vyombo vyake
Ni sawa na Mwenyekiti?Inasikitisha sana..
Akili za div. 0 ni shida
Huyu mzee mwoga wa maisha sana ameona anastaafu kaamua kujikomba kwa wanasisa ili wampe teuziSirro awajibishwe
Kuna siri kubwa sana ndani. Huenda serikali wanaigopa sana Chadema au polisi wana fanya haya mambo kuichafua serikali ya Mama Samia kimataifa ionekane ina kandamiza demokrasia.