Polisi yavamia na kuvunja kikao cha ndani cha BAWACHA

Polisi yavamia na kuvunja kikao cha ndani cha BAWACHA

PoliCCM na harakati za kuipigania CCM = Chama Maiti.
 
Mnavyowadhihaki kwa comments za namna hii ndio mnafikiri wataacha kuwawashia moto!??

Tatizo lenu bado hamjawa na busara na hekma ktk kudeal na mambo ya namna hiyo zaidi ya kutoaga matusi na kashfa mitandaoni dhidi ya Serikali na vyombo vyake
Hivi unadhani mjinga hugeuka kuwa mwerevu kwa kumwita kuwa ni mwerevu?
 
Mama Samia haya Mambo hayana umuhimu kwa kweli.
Acha watu wawe huru kufanya mikutano yao.
wewe ndo rais,jeshi lako,nec yako,polisi yako,mahakama yako unaogopa Nini?
 
Piga kabisa hao wanafanya vikao vya ndani kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja.
 
Hivi vitendo vya polisi-ccm ni vya woga, aibu, upuuzi, ukatili na ujinga ambao hata shetani hawezi kufanya
 
Back
Top Bottom