Polisi yavamia na kuvunja kikao cha ndani cha BAWACHA

Wametoka Kariakoo Kwa Wamachinga Wapo Huko
 
Polisi Tanzania ni wale wenye division 4 ya 30-32
 
Aibu kubwa sana kwa polisi
Kafulila ndiye sasa amekuwa mtesi wa wapinzani?

Tanzania hii inakwenda wapi!

Nakumbushia tena mkuu 'Erythro', kama chama, akina mama hao msiwanyime "Beji Yao Ya Heshima," hawa tayari wamefuzu inalazimu muwape utambuzi halali kwa kukaa mahabusu.

Hizi ni kumbukumbu muhimu sana kwa chama chenu na wanachama wote kuzitambua.

Tengenezeni vyeti na muwatunuku kwa heshima hiyo.
 
Policcm buana na div 5 zao.

Mnavyowadhihaki kwa comments za namna hii ndio mnafikiri wataacha kuwawashia moto!??

Tatizo lenu bado hamjawa na busara na hekma ktk kudeal na mambo ya namna hiyo zaidi ya kutoaga matusi na kashfa mitandaoni dhidi ya Serikali na vyombo vyake
 
Mnavyowadhihaki kwa comments za namna hii ndio mnafikiri wataacha kuwawashia moto!??

Tatizo lenu bado hamjawa na busara na hekma ktk kudeal na mambo ya namna hiyo zaidi ya kutoaga matusi na kashfa mitandaoni dhidi ya Serikali na vyombo vyake

Basi Simbachawene ndio kawatukana kama ni hivyo.
 
Waziri Mkuu ndio anataka kuja kuwa msuluhishi wa matendo ya hovyo na ya makusudi wanayowafanyia viongozi wa Chadema, waache hii tabia kwanza, halafu mazungumzo yafuate, hii ni nchi ya wote sio CCM na washirika wao peke yao.
 
Kuna siku watu watasuruhishwa wakiwa na bandage kichwani,watu watajikuta wapo nje ya mipaka ya nchi Kisha waulizane hivi Nini kimetokea nyumbani.polisi wetu hebu kuweni waungwana,tunajua shule ndogo mliyonayo kichwani ndiyo mnafanya hayo bila kufikiria.uvumilivu huwa una mwisho wake.polisi wekeni mizani sawa kwa raia wote.huko Lindi mmeua dereva,simiyo mmfunga kina mama Kuna siku hamta amini kitakachotokea,tunatahadharisha kabla wote hatujawa wakimbizi katika nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…