Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Kwahiyo tufanyeje ?Udikteta ndani ya nchi
Hivi unadhani mjinga hugeuka kuwa mwerevu kwa kumwita kuwa ni mwerevu?Mnavyowadhihaki kwa comments za namna hii ndio mnafikiri wataacha kuwawashia moto!??
Tatizo lenu bado hamjawa na busara na hekma ktk kudeal na mambo ya namna hiyo zaidi ya kutoaga matusi na kashfa mitandaoni dhidi ya Serikali na vyombo vyake
Shida sio elimu.Polisi Tanzania ni wale wenye division 4 ya 30-32
Vikao kama ivi ndio agenda za kigaidi zinapangwa visivumiliwe kabisa ,vizibitiwe kweli kweli. #kazi iendelee