Pre GE2025 Polisi yazuia Mkutano wa ACT Wazalendo, yasema mikutano ya hadhara na ndani imezuiliwa

Pre GE2025 Polisi yazuia Mkutano wa ACT Wazalendo, yasema mikutano ya hadhara na ndani imezuiliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Matulanya Mputa

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2023
Posts
245
Reaction score
655
Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na Polisi ndiyo watatumika.

IMG-20240812-WA0110.jpg
 
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kipolisi Mbagala limepiga marufuku Mkutano wa hadhara wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Dar es salaam kwa hoja kuwa "Mikutano ya Hadhara na vikao vya ndani imepigwa marufuku".

IMG_0876.jpeg

Chanzo: Mwanahalisi Digital

Pia soma: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

==========

Alipoulizwa kuhusu taarifa hiyo, Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT, Shangwe Ayo amesema “Ni kweli Polisi wamezuia mkutano wetu wa Mbagala na huu ni mwendelezo wa vikwazo ambavyo tumekutana navyo katika Mikutano yetu ya hivi karibuni pasipokuwa na sababu za kueleweka.”
 
Barua inajieleza niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mupo salama sana sasa kazi imeanza.
Lengo msusie uchaguzi wa serikali za mitaa na polisi ndyo wameanza kazi rasmi ,kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na polisi ndyo watatumika.
Act huwa wanadhani wako safe, they will be suprised
 
Ile amri iliyotolewa na marehemu Magufuli kupiga marufuku shughuli zote za kisiasa imerejeshwa rasmi na serikali ya Samia.

Katiba ya nchi sasa itasiginwa kwa kwenda mbele na haifamiki chaguzi zijazo zitakuwa vipi.
Screenshot_20240812-121501.jpg
 
Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na Polisi ndiyo watatumika.

View attachment 3067615
Hao ACT ni tawi la CCM wamekaa wakapanga wakakubaliana pamoja na CCM ili policcm wasionekane wanawaonea Chadema basi wao ( ACT) wajifanye kuandika barua hii then polisi wawagomee ionekane policcm walikuwa sawa kuwakabili Chadema ni ujinga wa Hali juu ila wanachopaswa kuelewa ni kwamba haya wanayoyafanya yanazidi kuipaisha Chadema.
 
Back
Top Bottom