Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Ameanzia pale alipoishia dikteta magufuli ndiyo maana ya kazi iendelee.Je huyu Mama ameanza UDIKTETA?!
Kwani lini aliacha ?Je huyu Mama ameanza UDIKTETA?!
Act huwa wanadhani wako safe, they will be suprisedBarua inajieleza niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mupo salama sana sasa kazi imeanza.
Lengo msusie uchaguzi wa serikali za mitaa na polisi ndyo wameanza kazi rasmi ,kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na polisi ndyo watatumika.
Si alisema kuwa yeye ni Mtu wa maridhiano na mapatano?!Kwani lini aliacha ?
Inner coreKwani lini aliacha ?
Hakuwa kuwa mwanademokrasia huyu mama.Je huyu Mama ameanza UDIKTETA?!
Hao ACT ni tawi la CCM wamekaa wakapanga wakakubaliana pamoja na CCM ili policcm wasionekane wanawaonea Chadema basi wao ( ACT) wajifanye kuandika barua hii then polisi wawagomee ionekane policcm walikuwa sawa kuwakabili Chadema ni ujinga wa Hali juu ila wanachopaswa kuelewa ni kwamba haya wanayoyafanya yanazidi kuipaisha Chadema.Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na Polisi ndiyo watatumika.
View attachment 3067615
Je huyu Mama ameanza UDIKTETA?!