joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Tatizo la wakenya uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana ndio sababu wanasiasa wenu wanawachezea wanavyopenda, ninyi mnapenda sana ushabiki na kujisifu badala ya kutafuta ukweli, David Ndii huwa anawaambia kila kitu, lakini kwa ujuaji wenu huwa mnapinga kwa kutoa hoja za kipuuzi Sana, kwahiyo endeleeni kuvumilia, haya ni matokeo ya ujinga wenu.Akii hii katiba mpya ni upuuzi...uhuru ka send on leave CS, PS na whole cabinet amebaki man alone aendelee kukula tu hii nchi na familia yake ..yafaa na yee angeenda likizo tu maana nae ni part of cabinet.
Mabadiliko lazima yatakuwa mpaka mwisho wa dunia, hata zile demokrasia zinazo kisiwa kukomaa duniani bado watu wanagombania mabadiliko. Itakuwa Kenya?..Mabadiliko gani? Hao senators wenu wanagombania nini leo
Huku yanawekwa wazi, kuna wale wa kufukia vichwa kama mbuni mchangani ni kama hakuna kinachoendelea!. 🤣🤣Hahahahaha, kweli katiba imekubalika kwa wakenya through
1)Increased corruption
2)Unemployment
3)Increased hunger
4)Increased insecurity
5)Increased covid-19 cases and deaths
6)Increased inflation rate
7)Increased borrowing
New Constitution hoyeeeeeeeee
Yaani politician mzima anabebwa kama raia,waaah
hapa zero brain umejitia kidole...
Tatizo la wakenya uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana ndio sababu wanasiasa wenu wanawachezea wanavyopenda, ninyi mnapenda sana ushabiki na kujisifu badala ya kutafuta ukweli, David Ndii huwa anawaambia kila kitu, lakini kwa ujuaji wenu huwa mnapinga kwa kutoa hoja za kipuuzi Sana, kwahiyo endeleeni kuvumilia, haya ni matokeo ya ujinga wenu.
Jiwe ataliwa shaba, fanyeni mchezo tu..Katiba mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lete ushahidi km katiba mpya ilikua ni kw ajili ya huo upuuzi wako[emoji23][emoji23]..Ninyi si mliandika katiba mpya mkidhani ndio mtamaliza political intimidation and harassment, vipi mbona ndio kwanza vinaongezeka kwa kasi?, sisi bado hatujaandika katiba mpya, hatupaswi kuulizwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si unaumia sana kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaha, kweli katiba imekubalika kwa wakenya through
1)Increased corruption
2)Unemployment
3)Increased hunger
4)Increased insecurity
5)Increased covid-19 cases and deaths
6)Increased inflation rate
7)Increased borrowing
New Constitution hoyeeeeeeeee
MY TAKE: Hii habari ingetokea Tanzania, media zote za Kanya zikiongozwa na vile vinavyomilikiwa na serikali ya Kenya vingekua vinashikilia bango siku nzima.
Kenya Hakuna mabadiliko yoyote yanayofanyika, hali ndio inazidi kuwa mbaya kuliko kabla ya kuandika katiba mpya.Mabadiliko lazima yatakuwa mpaka mwisho wa dunia, hata zile demokrasia zinazo kisiwa kukomaa duniani bado watu wanagombania mabadiliko. Itakuwa Kenya?..
Tubadilishe katiba ili tuangukie katika shimo la Corruption kama ninyi?, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unaumia sana kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Badilusheni katiba angalau kutakua na kifungu cha kuchangia uwepo wa cctv katika viwanja vya bunge na mahotelini..
Angalau mtaepukana na ushuzi wa cctv 'photos'[emoji23][emoji23]
Huo wa kuvamia viongozi saa tisa usiku katika nyumba zao na kuwakamata unaitwaje kumbe?,Wala haisaiidi ama kuwaliwaza Watanzania wanaoteseka na udikteta hapa Tanzania.
Mtanunua cctv[emoji1787][emoji1787]Tubadilishe katiba ili tuangukie katika shimo la Corruption kama ninyi?, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Their Agenda is to paint a bad picture for Tanzania in the Eastern Africa REGION. Kinachotokea Kenya wakikisemea haiendi sawa na mpango wao.Where are western media?
Janga la Corona linavyotumiwa kumzika Mkenya maskini angali haiMtanunua cctv[emoji1787][emoji1787]
Mimi mkenya mwenye ako chini ya hiyo katiba nimetoa kauli. Wewe unakanusha kwa misingi gani ukiwa kando?. 👊Kenya Hakuna mabadiliko yoyote yanayofanyika, hali ndio inazidi kuwa mbaya kuliko kabla ya kuandika katiba mpya.
OK, uhuru anakamata watu wanaopinga iyo Sera ya counties, isn't that dictatorship.Mabadiliko lazima yatakuwa mpaka mwisho wa dunia, hata zile demokrasia zinazo kisiwa kukomaa duniani bado watu wanagombania mabadiliko. Itakuwa Kenya?..
Tunataka tuone mabadiliko katika maisha ya wananchi, sasa kuandika katiba mpya wakati shida za wananchi zinazidi kuongezeka, huo ni wendawazimu, hali ya maisha ya wakenya wengi inazidi kuwa mbaya kuliko kabla ya katiba mpyaMimi mkenya mwenye ako chini ya hiyo katiba nimetoa kauli. Wewe unakanusha kwa misingi gani ukiwa kando?. [emoji109]
Siasa za Kenya huwezani nazo. Saa hii hakuna mtu ako ndani. Na bunge la seneti limesimamisha shughuli hadi wenzao waje. President atafanya nini sasa. Huku siasa ni tofauti!OK, uhuru anakamata watu wanaopinga iyo Sera ya counties, isn't that dictatorship.
Ndio nikakwambia jambo usilolijua ni kama usiku wa wa giza. Wakenya ni watu wa kutaka zaidi. Hakuna kutosheka na serikali. Katiba mpya imeleta tofauti kubwa hadi kwenye zile sehemu raia walihisi wametelekezwa.Tunataka tuone mabadiliko katika maisha ya wananchi, sasa kuandika katiba mpya wakati shida za wananchi zinazidi kuongezeka, huo ni wendawazimu, hali ya maisha ya wakenya wengi inazidi kuwa mbaya kuliko kabla ya katiba mpya
.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app