Political harassment and intimidation is rising in Kenya daily

Political harassment and intimidation is rising in Kenya daily

Akii hii katiba mpya ni upuuzi...uhuru ka send on leave CS, PS na whole cabinet amebaki man alone aendelee kukula tu hii nchi na familia yake ..yafaa na yee angeenda likizo tu maana nae ni part of cabinet.
Tatizo la wakenya uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana ndio sababu wanasiasa wenu wanawachezea wanavyopenda, ninyi mnapenda sana ushabiki na kujisifu badala ya kutafuta ukweli, David Ndii huwa anawaambia kila kitu, lakini kwa ujuaji wenu huwa mnapinga kwa kutoa hoja za kipuuzi Sana, kwahiyo endeleeni kuvumilia, haya ni matokeo ya ujinga wenu.
 
Mabadiliko gani? Hao senators wenu wanagombania nini leo
Mabadiliko lazima yatakuwa mpaka mwisho wa dunia, hata zile demokrasia zinazo kisiwa kukomaa duniani bado watu wanagombania mabadiliko. Itakuwa Kenya?..
 
Hahahahaha, kweli katiba imekubalika kwa wakenya through
1)Increased corruption
2)Unemployment
3)Increased hunger
4)Increased insecurity
5)Increased covid-19 cases and deaths
6)Increased inflation rate
7)Increased borrowing

New Constitution hoyeeeeeeeee
Huku yanawekwa wazi, kuna wale wa kufukia vichwa kama mbuni mchangani ni kama hakuna kinachoendelea!. 🤣🤣
 
Tatizo la wakenya uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana ndio sababu wanasiasa wenu wanawachezea wanavyopenda, ninyi mnapenda sana ushabiki na kujisifu badala ya kutafuta ukweli, David Ndii huwa anawaambia kila kitu, lakini kwa ujuaji wenu huwa mnapinga kwa kutoa hoja za kipuuzi Sana, kwahiyo endeleeni kuvumilia, haya ni matokeo ya ujinga wenu.

Budaa kenya na wakenya huwezi waelewa.. hii pure capitalist ..aliejichokea akufe na anaeweza kuiba na aibe sana.
 
Ninyi si mliandika katiba mpya mkidhani ndio mtamaliza political intimidation and harassment, vipi mbona ndio kwanza vinaongezeka kwa kasi?, sisi bado hatujaandika katiba mpya, hatupaswi kuulizwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lete ushahidi km katiba mpya ilikua ni kw ajili ya huo upuuzi wako[emoji23][emoji23]..
 
Hahahahaha, kweli katiba imekubalika kwa wakenya through
1)Increased corruption
2)Unemployment
3)Increased hunger
4)Increased insecurity
5)Increased covid-19 cases and deaths
6)Increased inflation rate
7)Increased borrowing

New Constitution hoyeeeeeeeee
Si unaumia sana kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Badilusheni katiba angalau kutakua na kifungu cha kuchangia uwepo wa cctv katika viwanja vya bunge na mahotelini..

Angalau mtaepukana na ushuzi wa cctv 'photos'[emoji23][emoji23]
 
Wala haisaiidi ama kuwaliwaza Watanzania wanaoteseka na udikteta hapa Tanzania.

MY TAKE: Hii habari ingetokea Tanzania, media zote za Kanya zikiongozwa na vile vinavyomilikiwa na serikali ya Kenya vingekua vinashikilia bango siku nzima.
 
Mabadiliko lazima yatakuwa mpaka mwisho wa dunia, hata zile demokrasia zinazo kisiwa kukomaa duniani bado watu wanagombania mabadiliko. Itakuwa Kenya?..
Kenya Hakuna mabadiliko yoyote yanayofanyika, hali ndio inazidi kuwa mbaya kuliko kabla ya kuandika katiba mpya.
 
Si unaumia sana kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Badilusheni katiba angalau kutakua na kifungu cha kuchangia uwepo wa cctv katika viwanja vya bunge na mahotelini..

Angalau mtaepukana na ushuzi wa cctv 'photos'[emoji23][emoji23]
Tubadilishe katiba ili tuangukie katika shimo la Corruption kama ninyi?, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kenya Hakuna mabadiliko yoyote yanayofanyika, hali ndio inazidi kuwa mbaya kuliko kabla ya kuandika katiba mpya.
Mimi mkenya mwenye ako chini ya hiyo katiba nimetoa kauli. Wewe unakanusha kwa misingi gani ukiwa kando?. 👊
 
Mabadiliko lazima yatakuwa mpaka mwisho wa dunia, hata zile demokrasia zinazo kisiwa kukomaa duniani bado watu wanagombania mabadiliko. Itakuwa Kenya?..
OK, uhuru anakamata watu wanaopinga iyo Sera ya counties, isn't that dictatorship.
 
Mimi mkenya mwenye ako chini ya hiyo katiba nimetoa kauli. Wewe unakanusha kwa misingi gani ukiwa kando?. [emoji109]
Tunataka tuone mabadiliko katika maisha ya wananchi, sasa kuandika katiba mpya wakati shida za wananchi zinazidi kuongezeka, huo ni wendawazimu, hali ya maisha ya wakenya wengi inazidi kuwa mbaya kuliko kabla ya katiba mpya
.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
OK, uhuru anakamata watu wanaopinga iyo Sera ya counties, isn't that dictatorship.
Siasa za Kenya huwezani nazo. Saa hii hakuna mtu ako ndani. Na bunge la seneti limesimamisha shughuli hadi wenzao waje. President atafanya nini sasa. Huku siasa ni tofauti!
 
Tunataka tuone mabadiliko katika maisha ya wananchi, sasa kuandika katiba mpya wakati shida za wananchi zinazidi kuongezeka, huo ni wendawazimu, hali ya maisha ya wakenya wengi inazidi kuwa mbaya kuliko kabla ya katiba mpya
.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ndio nikakwambia jambo usilolijua ni kama usiku wa wa giza. Wakenya ni watu wa kutaka zaidi. Hakuna kutosheka na serikali. Katiba mpya imeleta tofauti kubwa hadi kwenye zile sehemu raia walihisi wametelekezwa.
 
Back
Top Bottom