joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Tatizo la wakenya uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana ndio sababu wanasiasa wenu wanawachezea wanavyopenda, ninyi mnapenda sana ushabiki na kujisifu badala ya kutafuta ukweli, David Ndii huwa anawaambia kila kitu, lakini kwa ujuaji wenu huwa mnapinga kwa kutoa hoja za kipuuzi Sana, kwahiyo endeleeni kuvumilia, haya ni matokeo ya ujinga wenu.Akii hii katiba mpya ni upuuzi...uhuru ka send on leave CS, PS na whole cabinet amebaki man alone aendelee kukula tu hii nchi na familia yake ..yafaa na yee angeenda likizo tu maana nae ni part of cabinet.