Kwanini wanasubiri waondolewe na mabeberu! Niliowataja wote ni wang'ang'ania madaraka! Nyerere au angekuwa hivyo pia pengine angeondolewa kwa nguvu!Kaondolewa na Mabeberu wakishirikiana na vibaraka wao kwa vita!
Baada ya kuondoka, mabeberu wamesimika vibraka hao!
lielewe hilo!!
Kwanini wanasubiri waondolewe na mabeberu! Niliowataja wote ni wang'ang'ania madaraka! Nyerere au angekuwa hivyo pia pengine angeondolewa kwa nguvu!
Gadaf Fidel noumaaaDaah. Nimeiskiza hii interview. Mandela noma sana.
Mandela amekaa jela for 27 years and ametoka nadhan mwaka 1990 ambapo almost kila nchi ya africa ya africa ikiwa imepata uhuru.. sasa nashindwa kuelewa sijui mlitaka afanye nini kwa nchi nyingine za africa and aliserve only one term as a president na kuwaachia wengine.. aliamini sio yeye peke yake anaweza iongoza s.africa.Exactly kama ukisoma history vizuri ya viongozi hawa wawili,soo unapoongelea ushujaa kwa africa kwa upande wa Viongozi wetu Mandela didn't cross his Country boundary, he did nothing to Africa
Too low of you! Ngoja niishie hapa to save my time!Mbona huulizi kwa nini Malkia Elizabeth yupo kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 50?
Kila nchi na mifumo yake!!!
Kitendo cha Mandela kukaa jela huo muda is enough to inspire and motivate others! He served a lot!Mandela amekaa jela for 27 years and ametoka nadhan mwaka 1990 ambapo almost kila nchi ya africa ya africa ikiwa imepata uhuru.. sasa nashindwa kuelewa sijui mlitaka afanye nini kwa nchi nyingine za africa and aliserve only one term as a president na kuwaachia wengine.. aliamini sio yeye peke yake anaweza iongoza s.africa.
Kwa uonavyo wewe kati ya colonel Muammar Gaddafi au Nelson Mandela (Tata Madiba) nani shujaa/mwamba wa Afrika?
View attachment 534066
mandela awe shujaa kwa Afrika kwa lipi alilolifanya kwa AFRIKA?Kwa uonavyo wewe kati ya colonel Muammar Gaddafi au Nelson Mandela (Tata Madiba) nani shujaa/mwamba wa Afrika?
View attachment 534066
Sina uhakika Walibya na Wasouth wanasemaje! Laiti kama swali hili lingeelekezwa kwao, tungeweza kujua wao wanasemaje kutokana na msemo ule wa kizungu kwamba: 'charity begins at home'Kwa uonavyo wewe kati ya colonel Muammar Gaddafi au Nelson Mandela (Tata Madiba) nani shujaa/mwamba wa Afrika?
View attachment 534066
Pole kama haujui Gadafi kafanya nini...ghadaf kafny nn mpk afananishwe na madiba?
hivi kwa nini Mandela anahusudiwa zaidi na watu wa magharibi kuliko Afrika na Asia?Kwa uonavyo wewe kati ya colonel Muammar Gaddafi au Nelson Mandela (Tata Madiba) nani shujaa/mwamba wa Afrika?
View attachment 534066
Shujaa wa Afrika ni NYERERE. Hao wengine waulize katika nchi zao wanawachukuliaje!Kwa uonavyo wewe kati ya colonel Muammar Gaddafi au Nelson Mandela (Tata Madiba) nani shujaa/mwamba wa Afrika?
View attachment 534066