Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?

  • Total voters
    244
Kaondolewa na Mabeberu wakishirikiana na vibaraka wao kwa vita!
Baada ya kuondoka, mabeberu wamesimika vibraka hao!
lielewe hilo!!
Kwanini wanasubiri waondolewe na mabeberu! Niliowataja wote ni wang'ang'ania madaraka! Nyerere au angekuwa hivyo pia pengine angeondolewa kwa nguvu!
 
Kwanini wanasubiri waondolewe na mabeberu! Niliowataja wote ni wang'ang'ania madaraka! Nyerere au angekuwa hivyo pia pengine angeondolewa kwa nguvu!

Mbona huulizi kwa nini Malkia Elizabeth yupo kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 50?

Kila nchi na mifumo yake!!!
 
Huu ni mtihani ambao kila jibu kwa swali ulilouliza na kuelekeza kuchagua jibu ni sahihi. Tofauti iliyopo ni namna walivyokutana na mauti. Mandelea alikufa kifo cha kawaida huku Gaddafi akifa kwa kuuwawa kifedheha na wenye chuki ya Afrika kuwa Afrika na ambao wanasaka masoko ya silaha zao na wizi wa raslimali za Afrika kwa kuwatumia vikaragozi na vibaraka waafrika!
Yote kwa yote, Afrika itasonga mbele na kurudi nyuma ni mwiko!
 
Exactly kama ukisoma history vizuri ya viongozi hawa wawili,soo unapoongelea ushujaa kwa africa kwa upande wa Viongozi wetu Mandela didn't cross his Country boundary, he did nothing to Africa
Mandela amekaa jela for 27 years and ametoka nadhan mwaka 1990 ambapo almost kila nchi ya africa ya africa ikiwa imepata uhuru.. sasa nashindwa kuelewa sijui mlitaka afanye nini kwa nchi nyingine za africa and aliserve only one term as a president na kuwaachia wengine.. aliamini sio yeye peke yake anaweza iongoza s.africa.
 
Kitendo cha Mandela kukaa jela huo muda is enough to inspire and motivate others! He served a lot!
 
Huwezi mlinganisha Mandela na vitu vya ajabu. Mfssss
 
Kwanza Nelson Mandela hawezi kua Mwamba wa Africa...ni Mwamba wa Afrika Kusini..
 
Kwa uonavyo wewe kati ya colonel Muammar Gaddafi au Nelson Mandela (Tata Madiba) nani shujaa/mwamba wa Afrika?

View attachment 534066
Sina uhakika Walibya na Wasouth wanasemaje! Laiti kama swali hili lingeelekezwa kwao, tungeweza kujua wao wanasemaje kutokana na msemo ule wa kizungu kwamba: 'charity begins at home'
Hata hivyo, inatia majonzi kuona jinsi Gaddafi alivyouliwa kwani hata kama alikuwa na makosa kiasi gani, hakupaswa kuuliwa kwa jinsi ile ya kusikitisha ambayo hata shetani alisikika akisema kwa sauti: "MUNGU WANGU"!
 
Sioni ushujaa wa Mandela labda kwa kuwasamehe Wazungu waliomtesa! Hafikii hata nusu ya Nyerere juu ya Afrika!
 
Back
Top Bottom