GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,796
- 4,497
Kwanini wanasubiri waondolewe na mabeberu! Niliowataja wote ni wang'ang'ania madaraka! Nyerere au angekuwa hivyo pia pengine angeondolewa kwa nguvu!Kaondolewa na Mabeberu wakishirikiana na vibaraka wao kwa vita!
Baada ya kuondoka, mabeberu wamesimika vibraka hao!
lielewe hilo!!