Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?

  • Total voters
    244
Wakati anamchambua alikuwa keshazeeka.
Kwahiyo alikuwa kichaa wakati huo akiwa mzee ?

Unajua kwanini Mandela anamheshimu sana Gadaffi ?

Kipindi yupo jela chama cha ANC kilikuwa kinafadhiliwa na gadaffi

Hakuna disclosed amount mpaka leo hii iliyowekwa wazi ila waandishi wakubwa wanasema ni millions of dollars japo kiasi kamili haijulikani

Kwahiyo kivyovyote Mandela toka anatoka jela gadaffi ametoa mchango mkubwa kwenye ukombozi wa Africa kusini ,hiyo ya kusema alikuwa mzee umesema wewe

Ndio maana kipindi gadaffi anapinduliwa na kuuliwa msimamo wa chama cha ANC ikikuwa ni moja tu bado wanamuunga mkono gadafi japo walilaumiwa hawakufanya chochote kumsaidia muamari
 
Hata Nyerere alikuwa anafadhili sana. Au umesahau kwamba kuna Solomon Mahlangu huko Mazimbu? Hayo ni machache tu lakini JKN kasaidia sana ANC
 
Hiyo 1969 anaingia madarakani,Mandela alikuwa na karibu miaka mitano gerezani
 
Daily mail online ?

Hah

Hao kila siku wanawasema vibaya akina Chavez ,Castro ,Putin wanaonekana evils wao ni malaika

Hao ndio wanasema North Korea watu wananyoa mnyoo mmoja tu

Western propaganda hatulishwi

Sent from my IK-644 using JamiiForums mobile app
Thats my source boy.
Waliomchoka Walibya ndo waliomtoa madarakani kama mwizi. RiP Qaddafi.
 
Acheni kumfananisha Kanal na vitu vya ajabuajabu km ni kukaa selo hata shekh Ponda amekaa.
 
Ninachojua Mandela kavuma sana kuliko hata wapigania uhuru wenzie, kisa tu ktk kutoka jela yee ndio wa mwisho! Na wapo waliokufa uwanja wa vita pia. Akina Solomon Mahlangu, Walter Sisulu, OR TAMBO et al.

Mandela seems popular than other leaders who did greater things than him like Nyerere, simply because;

Those who own the media and controls the agendas of the world, decided to make him so. Simply because when he came into power never tempered with their economies ., remember South Africa companies and economy is in the hands of the west, they still control the SA economy, land, minerals, strategic institutions, etc. Research you will realise that there is political freedom but others still leaves much to be desired.
That is why he is popular because they decided to make him popular!
 
Uchambuzi mzuri je mkuu unahisi nani alikuwa na impact zaidi kwenye kipindi chake yaani mandela wa 1950-90 na gaddafi wa 1997-2011...... yaani ukiassue vipindi vyao walipofanya makubwa vingekuwa sambamba nani ungempa credit zaidi

Mandela muda mfupi tu baada ya kumaliza chuo alianza mchakato wa kupigania haki za watu wa kusini, akaanzisha kampuni ya kutetea haki za wazawa ambapo kesi nyngi zilikuwa ni unyanyasaji wa polisi dhidi ya raia na akaingia kwa mwanachama wa ANC , amepigwa ban nyingi tu na serikali ya wakoloni ya kutooneka katika halaiki ya watu na amewekwa vizuizini mara nyingi wakati akitembea nchi nzima SA ku organize ANC party, hadi ANC wakachanga pesa kidogo wakamtuma atoke nchini kisiri aende kukutana na wapigania uhuru wa nchi za kiafrica (OAU) ,akaondoka akapitia bongo akakutana na Nyerere akielekea Ethiopia ,baadae Tunisia ,Egypt ,Guine baadae Uingereza, aliporudi akatiwa nguvuni kwa kosa la kutoka nchini bila Taarifa,historia ya mandela ni ndefu na imejaa maumivu tofauti na Gadafi mbali sana , maana Gadafi baada ya kupindua serikali akawa Raisi ,ugumu ameupata ni baadae sana baada ya kutoelewana na USA/UK/UN, hajapitia mateso yeyote ya wakoloni. Pia tujue ukanda wa kusini mwa Africa + Algeria wakoloni walizichukulia nchi hizi kama zao,kwa hiyo ilikuwa ni ngumu sana kwao kupata uhuru, nakumbuka Algeria zote za ukanda ule yaani Tunisia/morocco/Libya zilipata uhuru mapema lakini Algeria was denied na wakaambiwa kuwa Algeria ni part of France ndio maana Ahmend Ben bella akasafiri kwenda OAU ukutana viongozi wa OAU ili kupata msaada, na ni nchi pekee iliyokubali kushika mtutu kuwafukuza wafaransa,Ben bella wakati anahutubia OAU alisema ''Let us all agree to die a little, or even completely so that African unity may not be a vain word'' huyu jamaa ni mwanamapinduzi na aliyepata tabu sawa na mandela huwezi kuwalinganisha na Gadafi. Na nchi ambazo viongozi wao walijitoa sana kw ukombozi wa Africa ni Nkuruma,Haile selasie ,Tanzania ambapo nyerere alimchagua Hashim mbita kuwa mwenyekiti wa kamati ya ukombozi, Nigeria walitoa mchango mkubwa wa pesa kwa ajili ya kufundisha makada wa Zimbabwe & south Africa , Algeria & Egypt ndo walikuwa wakufunzi wakubwa wa kada's/jeshi kwa sababu tayari walikuwa na utalaam mkubwa wa masuala ya kijeshi. Ndio maana utaona uhusiano kati ya Tanzania na Algeria ni mkubwa sana hata kuliko morocco or Tunisia , katika harakati hizo zote Libya chini ya Gadafi ilikuwa na mchakato wake pekee na mchango wake haukuonekana ,hivyo zile kashi kasha za ukoloni Gadafi hakuzipitia ,kwangu naona MANDELA na AHMED BEN BELLA wako juu zaidi ya GADAFI, ingawaje mchango wa gadafi wa kuanzia miaka ya 97 hadi 2011 pia sio mdogo.
 
Kajenga msikiti Dodoma...karibu Tanzania, nchi yenye wananchi wanaoamini kuwa Gadaffi alikuwa anagawa $50,000 kwa kila mtu aliyekubali kuoa kwa kuwa tu wanawake wa huko wana miiba
watu wajinga wajinga wanadanganyana kuwa watu walikuwa wanatolewa mahali za kuoa huko libya
 
Hata Mandela mwenyewe alikiri kuwa Ghadafi ni(alikuwa) jembe hapa Afrika. Msikilize anavymjibu huyu mwandishi.

Mandela: siwezi kuwaongelea vibaya wale waliotumia pesa na nguvu zao kusaidia ukombozi wa Afrika kusini,mpaka Cooper akawa kimya kwa pigo takatifu kutoka kwa Nelson

Castro, Muamar wamefanya juhudi kubwa

Hongera Nelson Mandela
 
Mandela muda mfupi tu baada ya kumaliza chuo alianza mchakato wa kupigania haki za watu wa kusini, akaanzisha kampuni ya kutetea haki za wazawa ambapo kesi nyngi zilikuwa ni unyanyasaji wa polisi dhidi ya raia na akaingia kwa mwanachama wa ANC , amepigwa ban nyingi tu na serikali ya wakoloni ya kutooneka katika halaiki ya watu na amewekwa vizuizini mara nyingi wakati akitembea nchi nzima SA ku organize ANC party, hadi ANC wakachanga pesa kidogo wakamtuma atoke nchini kisiri aende kukutana na wapigania uhuru wa nchi za kiafrica (OAU) ,akaondoka akapitia bongo akakutana na Nyerere akielekea Ethiopia ,baadae Tunisia ,Egypt ,Guine baadae Uingereza, aliporudi akatiwa nguvuni kwa kosa la kutoka nchini bila Taarifa,historia ya mandela ni ndefu na imejaa maumivu tofauti na Gadafi mbali sana , maana Gadafi baada ya kupindua serikali akawa Raisi ,ugumu ameupata ni baadae sana baada ya kutoelewana na USA/UK/UN, hajapitia mateso yeyote ya wakoloni. Pia tujue ukanda wa kusini mwa Africa + Algeria wakoloni walizichukulia nchi hizi kama zao,kwa hiyo ilikuwa ni ngumu sana kwao kupata uhuru, nakumbuka Algeria zote za ukanda ule yaani Tunisia/morocco/Libya zilipata uhuru mapema lakini Algeria was denied na wakaambiwa kuwa Algeria ni part of France ndio maana Ahmend Ben bella akasafiri kwenda OAU ukutana viongozi wa OAU ili kupata msaada, na ni nchi pekee iliyokubali kushika mtutu kuwafukuza wafaransa,Ben bella wakati anahutubia OAU alisema ''Let us all agree to die a little, or even completely so that African unity may not be a vain word'' huyu jamaa ni mwanamapinduzi na aliyepata tabu sawa na mandela huwezi kuwalinganisha na Gadafi. Na nchi ambazo viongozi wao walijitoa sana kw ukombozi wa Africa ni Nkuruma,Haile selasie ,Tanzania ambapo nyerere alimchagua Hashim mbita kuwa mwenyekiti wa kamati ya ukombozi, Nigeria walitoa mchango mkubwa wa pesa kwa ajili ya kufundisha makada wa Zimbabwe & south Africa , Algeria & Egypt ndo walikuwa wakufunzi wakubwa wa kada's/jeshi kwa sababu tayari walikuwa na utalaam mkubwa wa masuala ya kijeshi. Ndio maana utaona uhusiano kati ya Tanzania na Algeria ni mkubwa sana hata kuliko morocco or Tunisia , katika harakati hizo zote Libya chini ya Gadafi ilikuwa na mchakato wake pekee na mchango wake haukuonekana ,hivyo zile kashi kasha za ukoloni Gadafi hakuzipitia ,kwangu naona MANDELA na AHMED BEN BELLA wako juu zaidi ya GADAFI, ingawaje mchango wa gadafi wa kuanzia miaka ya 97 hadi 2011 pia sio mdogo.
Ahsante mkuu kwa darasa zuri ..... big up sana kwa uchambuzi murua kabisa hoja to hoja
 
1. Nyumba bora kwa kila mwanalibya. SA bado mamilioni ya watu wanaishi kwenye slum.

2. Kusomeshwa bure kwa kila mwanalibya. SA kila kitu ni kulipia.

3. Umeme wa bure kwa kila mwanalibya . SA unalipia kila kitu.

4. Apartments kwa kila graduate na kuozwa mke/Mme na utaanza kulipa rent ukipata ajira. SA hakuna hili.

5. Libya ilikuwa ikifadhili kwa pesa AU. SA haifanyi hivyo.

6. Libya ilikuwa inakopesha nchi za kiafrika bila riba na misaada ya kimaendeleo isiyo mikopo. SA haifanyi hivyo.

7. NK.

Acha propaganda za kuskia kwenye vijiwe vya kahawa
 
Back
Top Bottom