avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Labda kwa sababu baba yake ametoka Tamil kule India baadhi Yao Wana asili ya weusiMwenyewe anajiita black American nowadays! Kaukana uhindi kwa muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa sababu baba yake ametoka Tamil kule India baadhi Yao Wana asili ya weusiMwenyewe anajiita black American nowadays! Kaukana uhindi kwa muda.
Kwa ufahamisho tu Nyani Ngabu alikuwa ni shabiki wa Trump na hadi leo hajabadilisha msimamo wake huo!Wapo akina Nyani Ngabu awamu ya kwanza trump alipokuwa anagombea walishupaza shingo sana na kudhani mwanamke angekalia kiti. Ngoja tuone awamu hii tena
Mkuu,Marekani kamwe hawatokuja kuruhusu Mwanamke awaongoze,hilo haliwezi kutokea abadani,wanaruhusu Demokrasia lakini linapokuja suala la maslahi ya nchi Yao,kiukweli Mwanamke hawezi Kuwa Rais!Alafu huku afrika wanataka tuongozwe na wanawake
Hajawahi kujiita mhindi kama ambavyo Obama na Bob Marley hawajawahi kujiita wazungu. Aidha, hajawahi kuficha kuwa alizaliwa na mhindi kama vile Obama hajawahi kukana kuwa mama yake alikuwa mzungu au Bob kuwa baba yake alikuwa mzungu. Hawa wote walijitambua kama watu weusi toka wakiwa watoto. Msitake kupotosha wenzenu.Mwenyewe anajiita black American nowadays! Kaukana uhindi kwa muda.
Ndivyo mlivyosema kuhusu mtu mweusi. Ndivyo walivyoamini kuhusu wakatoliki. Ndivyo tulivyosema kuhusu mwanamke kuwa Rais Tanzania.Mkuu,Marekani kamwe hawatokuja kuruhusu Mwanamke awaongoze,hilo haliwezi kutokea abadani,wanaruhusu Demokrasia lakini linapokuja suala la maslahi ya nchi Yao,kiukweli Mwanamke hawezi Kuwa Rais!
🤣🤣🤗Mwanamke safi, angalia wa kwetu alivyobuni mbinu za kubinafsisha bandari.
Acha kunizushia mambo wewe! Huo ushabiki wa Trump ulinipa wewe?Kwa ufahamisho tu Nyani Ngabu alikuwa ni shabiki wa Trump na hadi leo hajabadilisha msimamo wake huo!
Tangu lini kucheka kumekuwa dhambi? Senator Kamala hakuwa serious alipokuwa anawahoji wateule wa ujaji wa Supreme Court? Umemuona Jasmine Crocket? Utasema kuwa hayuko serious kwa sababu karibu kila wakati ana tabasamu? Kamala na Jasmine wana empathy na sio robots. Ndio maana Kamala kuna wakati anacheka, ana tabasamu, anacheza muziki. Lakini ikibidi akushughulikie, anakushughulikia vizuri tu. Wakati mwingine huku akitabasamu.Huyo Kamala ni mtu wa kucheka cheka tu 🤣 🤣 🤣
Yaani angalua hata Samia anajua kuwa serious
Kumbe Nyani Ngabu ni hardcore MAGA?Acha kunizushia mambo wewe! Huo ushabiki wa Trump ulinipa wewe?
Hardcore MAGA anaweza kuandika uzi kama huu?Kumbe Nyani Ngabu ni hardcore MAGA?
Amandla....
Naona Nyani Ngabu kasahau majadiliano tuliyokuwa nayo Trump alipochaguliwa kuwa mgombea mwaka 2016!Kumbe Nyani Ngabu ni hardcore MAGA?
Amandla....
Kumbe na wewe ni team Cackling Word Salad Queen? 🤣🤣Tangu lini kucheka kumekuwa dhambi? Senator Kamala hakuwa serious alipokuwa anawahoji wateule wa ujaji wa Supreme Court? Umemuona Jasmine Crocket? Utasema kuwa hayuko serious kwa sababu karibu kila wakati ana tabasamu? Kamala na Jasmine wana empathy na sio robots. Ndio maana Kamala kuna wakati anacheka, ana tabasamu, anacheza muziki. Lakini ikibidi akushughulikie, anakushughulikia vizuri tu. Wakati mwingine huku akitabasamu.
Amandla...
Ooh, haya hapa mabandiko yangu toka 2016.Naona Nyani Ngabu kasahau majadiliano tuliyokuwa nayo Trump alipochaguliwa kuwa mgombea mwaka 2016!
Mimi mwenyewe nilipiga 😂Hizo Kura Hadi Mimi nimepiga kwasababu zipo Tu mitandaoni
Wamekuambia hivyo?Marekani iko tayari kuongozwa na nyani lakini si MWANAMKE
Hiyo sio TanzaniaWasije wakamvua uraia; ni m-SA yule! Loh! Kumbe isn't a shithole!
🤭Marekani iko tayari kuongozwa na nyani lakini si MWANAMKE
Nyani Ngabu and your buddy Donald Trump, I find it so hard to tell you apart!I got the receipts…..something your old ass knows nothing about!