Poll: Trump kamgaragaza Kamala Harris kwa 78% kwa zaidi ya kura milioni 1 huko X (Twitter)

Poll: Trump kamgaragaza Kamala Harris kwa 78% kwa zaidi ya kura milioni 1 huko X (Twitter)

Alafu huku afrika wanataka tuongozwe na wanawake
Mkuu,Marekani kamwe hawatokuja kuruhusu Mwanamke awaongoze,hilo haliwezi kutokea abadani,wanaruhusu Demokrasia lakini linapokuja suala la maslahi ya nchi Yao,kiukweli Mwanamke hawezi Kuwa Rais!
 
Mwenyewe anajiita black American nowadays! Kaukana uhindi kwa muda.
Hajawahi kujiita mhindi kama ambavyo Obama na Bob Marley hawajawahi kujiita wazungu. Aidha, hajawahi kuficha kuwa alizaliwa na mhindi kama vile Obama hajawahi kukana kuwa mama yake alikuwa mzungu au Bob kuwa baba yake alikuwa mzungu. Hawa wote walijitambua kama watu weusi toka wakiwa watoto. Msitake kupotosha wenzenu.

Amandla...
 
Huyo Kamala ni mtu wa kucheka cheka tu 🤣 🤣 🤣

Yaani angalua hata Samia anajua kuwa serious
 
Mkuu,Marekani kamwe hawatokuja kuruhusu Mwanamke awaongoze,hilo haliwezi kutokea abadani,wanaruhusu Demokrasia lakini linapokuja suala la maslahi ya nchi Yao,kiukweli Mwanamke hawezi Kuwa Rais!
Ndivyo mlivyosema kuhusu mtu mweusi. Ndivyo walivyoamini kuhusu wakatoliki. Ndivyo tulivyosema kuhusu mwanamke kuwa Rais Tanzania.

Amandla...
 
Huyo Kamala ni mtu wa kucheka cheka tu 🤣 🤣 🤣

Yaani angalua hata Samia anajua kuwa serious
Tangu lini kucheka kumekuwa dhambi? Senator Kamala hakuwa serious alipokuwa anawahoji wateule wa ujaji wa Supreme Court? Umemuona Jasmine Crocket? Utasema kuwa hayuko serious kwa sababu karibu kila wakati ana tabasamu? Kamala na Jasmine wana empathy na sio robots. Ndio maana Kamala kuna wakati anacheka, ana tabasamu, anacheza muziki. Lakini ikibidi akushughulikie, anakushughulikia vizuri tu. Wakati mwingine huku akitabasamu.

Amandla...
 
Kumbe Nyani Ngabu ni hardcore MAGA?

Amandla....
Hardcore MAGA anaweza kuandika uzi kama huu?

Tangu lini kucheka kumekuwa dhambi? Senator Kamala hakuwa serious alipokuwa anawahoji wateule wa ujaji wa Supreme Court? Umemuona Jasmine Crocket? Utasema kuwa hayuko serious kwa sababu karibu kila wakati ana tabasamu? Kamala na Jasmine wana empathy na sio robots. Ndio maana Kamala kuna wakati anacheka, ana tabasamu, anacheza muziki. Lakini ikibidi akushughulikie, anakushughulikia vizuri tu. Wakati mwingine huku akitabasamu.

Amandla...
Kumbe na wewe ni team Cackling Word Salad Queen? 🤣🤣
 
Naona Nyani Ngabu kasahau majadiliano tuliyokuwa nayo Trump alipochaguliwa kuwa mgombea mwaka 2016!
Ooh, haya hapa mabandiko yangu toka 2016.

I got the receipts…..something your old ass knows nothing about!

Marekani iko tayari kuongozwa na nyani lakini si MWANAMK..
 
Attachments

  • 1724199027804.png
    1724199027804.png
    102 KB · Views: 4
I got the receipts…..something your old ass knows nothing about!
Nyani Ngabu and your buddy Donald Trump, I find it so hard to tell you apart!
Same uncouthness, boorishness, churlishness, rowdiness, and crassness.
No gentility, cultivation, refinement, tastefulness, elegance or courtliness!
 
Back
Top Bottom