- Kusoma Maandiko.Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.
Je kuna ukweli wowote katika hili?
We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi
Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
-Kufanya mazoezi
-Kuangalia Movie
-Kuchart na marafiki nk.
-Kucheza na Algorithms, hapa ngoja nifiche.
-Kuperuzi mambo mbalimbali hasahasa finance mtandaoni.